Ngassa

hii timu ya seattle kiwango chao sio kizuri, muda aliopewa ngassa kucheza ni mchache mno coz mipira yenyewe hata haifiki mbele kwa hiyio ndi vigumu kuonyesha makeke. Mabeki wao wanakatika mno, wanapoteza mipira kwa ulahisi sana, pia hawakabi kwa moyo, sioni sababu ya ngassa kukosa namba pale, labda kama huwa wanacheza vzr zamani ila leo ndio limewagomea.
 
seattle sounders 0 man united 7 ngassa aingia dk 76 amecheza vizuri almanusura afunge rio ablock he did a gud job
 
angecheza tangu mwanzo seatlle ingeshinda kwa mabao nane ambayo yote angefunga Ngasa.
Source:- mrithi wa sheikh yahya hussein
 
Ni kweli hata mimi nimemuona amesababisha na faulo kuelekea kwa Man U katika harakat za kutaka kumtoka beki wa Mn u.Imependeza sana watanzania kweli tuna hamu yakumuona mtanzania anacheza live ulaya watu tulijaa sana Ngasa akigusa mpira watu wote wanashangilia.
 
seattle sounders 0 man united 7 ngassa aingia dk 76 amecheza vizuri almanusura afunge rio ablock he did a gud job

mungu ambariki kijana wetu aajiriwe na hiyo team na inshalah mungu atawafanikisha. Lakini wamefungwa mabao mengi sana jamani, ila man united si team ya mchezo jamani. Ngassa mungu atakujalia nia yako ya kucheza mpira nje ya nchi
 
hii timu ya seattle kiwango chao sio kizuri, muda aliopewa ngassa kucheza ni mchache mno coz mipira yenyewe hata haifiki mbele kwa hiyio ndi vigumu kuonyesha makeke. Mabeki wao wanakatika mno, wanapoteza mipira kwa ulahisi sana, pia hawakabi kwa moyo, sioni sababu ya ngassa kukosa namba pale, labda kama huwa wanacheza vzr zamani ila leo ndio limewagomea.
Hiyo mechi ilikuwa ni friendly ndio maana uliona half time wamebadirisha timu nzima, kwa hiyo huwezi kutegemea kuwaona wakicheza kama wanavyocheza kwenye mechi za ligi. Muda aliopangwa Ngassa ni mfupi sana hopefully atapata muda zaidi wa kufanya majaribio na jamaa. Juzi timu ya Nizar Khalifan ilicheza na Manchester City naona hakuna aliyezungumzia.
 
timu ya nizar ilipigwa ndio maana unaona kimya
 
right winger who can also play left, Nizar Khalfan is neither strong nor particularly quick. Instead, he's an adept of using his body and beating defenders by taking an angle. He's a useful scorer (he actually played forward for the 2010 Whitecaps) who isn't the most reliable finisher but shoots from distance. He might be the best crosser on the Whitecaps today. Khalfan's weakness is consistency. He needs his teammates to keep him involved and give him someone to set up. At best he's a sparkplug: gets the ball, skims by defenders, sets up a glorious scoring chance. At worst he's like playing with ten men.

Mrisho is a powerful and dynamic right wing player. He is very skilful and has super shot. He is fast, [with] good technique and perfect ball control. He is good on pace and excellent on [the] flank.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom