.............. Wahenga wanasema ndege aina ya Mbayuwayu anaakili za kuambiwa lakini na yeye anatumia akili zake......Haya Ngassa kama kweli anatumia akili zake mwenyewe sawa lakini kama atakuwa anatumia akili za kutengenezewa namsikitikia sana... chance ya Sudan ilikuwa bonge ya deal... angekwenda kule kupata expo-usher then angerudi baada ya miaka miwili na kujiunga na timu anayoitaka na huku mambo yakiwa yamepoa... lakini kwa jinsi anavyoenenda.... ni tatizo...
..
Bora hawa waliomwambia na kumuacha aamue. Hawa unaosema wamemtengenezea dili wao walitaka kumuuza blindly. Kwa mawazo ya umaskini uliyonayo unasema bonge la dili, lkn kama ni bonge la dili ndio umpeleke kimya kimya bila ridhaa yake?
Wewe unataka kuniambia kwamba Azam na Simba ndio wanajua zaidi nini Ngasa anataka kuliko Ngasa mwenyewe? Kwa mfano wewe unayesema sasa hivi hapa ''bonge la dili'' wewe umeuona huo mkataba wa El-Mereikh? Si na wewe umesikia tu kwa hao hao Simba na Azam kama ambavyo Ngasa naye kasikia tu kwa watu?
Mara nyingine tuachage kuwapangia watu maisha. Ngasa ni mwanaume mwenye familia, alipaswa kupewa taarifa ashauriane na mkewe na waamue baada ya kuridhia kama wanakwenda. Kwa akili za kipumbavu, mnadhani maisha ya mwanasoka ni uwanjani tu, hayo ni makosa. Makosa kudhania kwamba ile ni machine.
Umeongoe hapo ''nyoko nyoko nyoko nyoko......miaka miwili.........ni tatizo...'' je wewe matatizo yake ya sasa unayajua?
Unajuaje kama Ngasa labda ana mipango ya kumaliza mkataba uliopo na kwenda zake kununua trekta akalime? Mi nakuhakikishia, wkt unamuona Ngasa mjinga, upo uwezekano wewe ni mjinga mara mia moja.
Kila mtu ana mipango yake bwana. Nataka nifanye kazi dar, nilee mtoto wangu hapa, asome hapa n.k. Leo hii anatokea mbumbumbu mmoja dizain yako, anaanza ooh, rufiji kuna kazi nzuri zaidi ya hii....blah blah blah....as if wewe ndio unajua sana kile nachotaka.
Acheni hizo, kama mnataka watu wa kuwapa mawazo, nendeni mkampe Ray C, huyo ndio kashindwa, Ngasa sio mgonjwa.