Ngao ya Hisani live: SIMBA vs YANGA

Fuatilia taarifa za habari wakati michezo!

yanga si walisema hawatapeleka timu vipi wamelipwa...

Wakuu kama kuna mtu yoyote anajua iwapo hii mechi inapatikana online stream atupatie link tafadhali.

kwa kweli timu ilivyopakwa hata kama ningekuwa ni mimi ningeipanga hivyo..

kwa kweli timu ilivyopakwa hata kama ningekuwa ni mimi ningeipanga hivyo..

bado dk 5 mkuu,mliopo ground mwagen updates jamvini,me nafuatilia kwa cm make umeme umezimwa na hii ndo njia pekee ya mawasiliano

Vp mpira unarushwa chanel gani?

washabiki wa simba utawajua tu! Tayari matumbo joto!

kweli kabisa mkuu,me simba damu(hata rangi ya damu yangu inathibitisha hilo)

yaani leo yatarudi yalee ya 4-1 natamani swedi mwinyi angekuwa mtangazaji wa hii mechi tukiwafirigisa Yanga.

simba imara simba imara,yanga makopo yanga makopo! Hii tutajikumbushia leo!

Kwani inaonyeshwa channel gani wakuu?

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…