Ngao ni mfumo wa ulinzi na usalama, mfumo huu umeanzishwa na issa rajabu tofiki/mlinzi shujaa , katika nchi ya tanzania, mwaka ( 2019 ) kwa lengo la kuwapatia raia wa tanzania uwezo wa kujilinda dhidi ya wanyang'anyi, wabakaji, wateka nyara, wauaji, magonjwa, ajali, mazingira hatarishi na wanyama wa kali kama vile simba, chui, nyati, faru, tembo, mbwa nk.