Jamaa Ukraine na Urusi ni wazalishaji wakubwa wa ngano halafu ni cheap, kwahiyo lazima watu waumieNgoma inazidi kuwa ngumu kupanda kwa ngano sijajua kama vita hii ya uraine inahusika ila kama inahusika wale mashabiki wa hii vita msije kuja kulalamika hali ya maisha ngumu mkaanza kumsingizia mama yetu wakati hausiki
Jamaa Ukraine na Urusi ni wazalishaji wakubwa wa ngano halafu ni cheap , kwahiyo lazima watu waumie
Aliekuwa anatupa sisi, inabidi nyingine apeleke kwa wale waliokuwa wanapewa na Ukraine, kwahiyo demand ni kubwa kuliko supply, bei lazima ipande maana kidogo kinagawanywa kwa watu wengi.Nyi mnakula ngano kutoka ukraune?
Huko nyumbani bado mnatumia vile vidude vya kutu kupimiwa mafuta?Ngoma inazidi kuwa ngumu kupanda kwa ngano sijajua kama vita hii ya uraine inahusika ila kama inahusika wale mashabiki wa hii vita msije kuja kulalamika hali ya maisha ngumu mkaanza kumsingizia mama yetu wakati hausiki
Miaka hiyo ilikua sh 10.Kile kimoja kilikuwa 200 kwa sasa ni sh 800
Kwa maisha yetu haya ngano ni inshu ndogo sana kupanda bei, kwa waarabu huko sawa!! Karibia mwaka wa pili sasa vitu vingi tena vya muhimu zaidi vimepanda bei na hakuna tamko lolote la serikali lilitolewa, juzi inaibuka vita hiyo ndio wanaifanya chaka la kujifichia? Hayo mafuta ya kula toka mwishoni mwa 2019, ndipo yalianza kupanda bei!!Wapiga domo wasije kuja kulia lia tu
Kwa taarifa yako kila negative impact unayoiona au kuisikia kwenye nchi hii ni matunda ya uovu wa ccmMitano tena
25% ya ngano inayoliwa duniani inatoka urusi na ukraine, kwa sasa hawatoi tena mzigo.Kwa taarifa yako kila negative impact unayoiona au kuisikia kwenye nchi hii ni matunda ya uovu wa ccm
Tanzania yetu chakula ni ugali na wali!!Ngoma inazidi kuwa ngumu kupanda kwa ngano sijajua kama vita hii ya Ukraine inahusika ila kama inahusika wale mashabiki wa hii vita msije kuja kulalamika hali ya maisha ngumu mkaanza kumsingizia mama yetu wakati hausiki
bado una hitaji keki siku ya harusi yako😄Tanzania yetu chakula ni ugali na wali!!
Ngano ni anasa tu!!