Ngalawa hotel and resort

Prince Akeem

JF-Expert Member
May 26, 2013
879
500
Wakuu za saa hizi. Kwa mwenye uzoefu nilikuwa nauliza gharama za ngalawa hotel and resort zanzibar.

Maana nafunga ndoa mwezi ujao nataka kwenda kufanyia honeymoon pAle
 

cute b

JF-Expert Member
Aug 14, 2014
17,090
2,000
Google utaona price zao.
Kwani bando lako unalitumia kufanyaje?
Usipende kutafuniwa kila kitu shuhulisha akili hiyo.

The Hate U Give, Little Infants F's Everyone.
 

MimiKijana

JF-Expert Member
Dec 11, 2018
281
250
Wakuu za saa hizi. Kwa mwenye uzoefu nilikuwa nauliza gharama za ngalawa hotel and resort zanzibar.

Maana nafunga ndoa mwezi ujao nataka kwenda kufanyia honeymoon pAle
Mkuu, kwanza hongera kwa uamuzi wa kuoa, maana wengi twaogopa hiyo ndoano.

Pili, ningekupa tovuti yao ila humu haparuhusiwi links, labda nikupe namba zao ni 0773 404 430.

Ukikaribia tarehe ya ndoa tafadhali ni PM mwaliko huenda nikahudhuria.

Nawasilisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom