mwezimpyanewmoon
New Member
- Apr 5, 2016
- 3
- 2
.
Pole sana, jasho la wanyonge linaliwa na washenzi wachache.Mimi ni muathirika wa kampuni hii. Kiukweli ni maumivu sana ukizingatia majibu yao si ya kuridhisha wala kujitosheleza. Sijui tumetambulika wengine ni wafanyakazi hewa
Asante sana. Serikali ifikie mahali iangalie hizi kampuni kwakweli.Pole sana, jasho la wanyonge linaliwa na washenzi wachache.