donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Bora hata most wanted, the run mission zake zinasumbua (gamers will understand)
Yes most wanted hata mimi naielewa sana actions zakeNFS most wanted ndio naielewa kidogo..hata hivyo nimecheza siku nyingi kweli
HOT PURSUIT
Naona ina mbwembwe nyingiMbona mimi nilitoboa kwa urahisi
Most wanted ya pili ndio sikuipenda kabisa
Poapoa DonYes most wanted hata mimi naielewa sana actions zake
Naona ina mbwembwe nyingi
Na hapo mimi ndio nimeanza safar ya kwenda las vegasYup ni game flan tamu. Maana kutoka San Fransisco to New York sio mchezo, hapo bwana Jack ana kazi nzito
Na hapo mimi ndio nimeanza safar ya kwenda las vegas
Kuna dem mmoja anaitwa samNdo kwaanza utamu unakolea
Ushakutana na wale wadada wawili
Kuna dem mmoja anaitwa sam