Hili game dah instalation huwa inategemea na uliko litoa na lna tofautiana maana hata magari ya baadhi ya wale blacklist hayapo sawa na ukiangalia version huwa inaandika zote ni 1.3 ila kwa mm lile file nililo download kuna kimeandikwa Speed.exe ndo hko nlisend to desktop (create shortcut) ila kwa baadhi ya pc mpaka uwe umeinstall graphics driver ila nmeli install kwenye hp kadhaa huwa lnacheza bila hata ya graphic driver