Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,493
- 12,453
Haters will say Neyo kanunuliwa au ameshachuja
First haterHiyo ni page feki....neyo hatumii hilo jina

mbona alikiba kaimba na neyo hamuongei tafuta unaitwa one stand

Liko wapi sasa mbona hatujalisikia.alikiba kaanza kuimba na neyo kabla ya domo tena bonge la collabo on coke studio
google we uko dunia ya ngapi haujausikiaLiko wapi sasa mbona hatujalisikia.
Au unaleta siasa na ww.
baada ya hiyo tour tunasubiri Tour ya Chris brown & Kiba

mbona alikiba kaimba na neyo hamuongei tafuta unaitwa one stand
Yani winbo hadi nikausakanye huko wimbo huo? Wimbo mzuri unajiuza wenyewgoogle we uko dunia ya ngapi haujausikia