Next move ya Lowassa itakuwa ipi?

Next move ya Lowassa itakuwa ipi?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,837
Ni dhahiri kwamba kila siku zinavyozidi kwenda kuelekea uchaguzi Mkuu ndivyo pia ndoto za fisadi Lowasa na Genge za kushika Dola zinavyozidi kupungua na kufifia kabisa, sasa ni ipi itakuwa hatua ya tatu ya fisadi Lowasa na Genge lake baada ya kwanza kukatwa na tume ya Maadili ya CCM kwa kukosa maadili ya kuongoza, ya pili ni kukataliwa na Watz kwa ujumla wetu kupitia sanduku la kura sasa hatua ya tatu ndiyo ninayoiongelea ikumbukwe kwamba kwake yeye ni Uraisi tu na hakuna kingine na ameshasema pale Mlimani City kwamba Msamiati wa kushindwa kwake haupo, na Je, tutegemee nini kitafuatia baada ya sisi WatanZania kumkataa?

Mimi natabiri kifuatacho; Fisadi Lowasa Genge lake kwa kuwa wanafahamu kabisa kwamba hawawezi kuishi maisha ya Amani bila ya wao kuwa sehemu ya Serikali basi kuna kila dalili ya wao (fisadi lowasa na Genge lake) kulazimisha kwa njia yoyote ile kwa namna moja au nyingine wawepo kwenye Serikali ya Dr.Pombe Magufuli, sasa hapo tukae mkao wa utayari kwani kuna siku ngumu mbele yetu zinakuja na haitakuwa rahisi!
Ningeishauri Serikali ianze kuajili Polisi wa kutosha pamoja na kuita ma reserve wetu na kuwatayarisha!
 
Huyu mtoa mada anahitajika kuchukukuliwa hatua maana hii ni lugha ya uchochezi
 
Mafisadi papa tulishayaambia yakachukue visa mapema..naona yanazidi kufanya kampeni na sasa watakiona cha mtema kuni
 
makomeo ananadiwa saa ngapi?Lowasa fisadi kuu ndio raisi wetu tunamtaka sisi awe raisi.Lowasa raisi
 
Wengi waliamini kuwa majina ya mfukoni yangelipitishwa na baada ya kumkata 'angezimia na pressure' lakini sasa hamlali sababu ya huyu 'mgonjwa'!
25 October ndio mtajua kama Magogoni ni pango la walanguzi au 'icu ya wagonjwa'!
 
Ni dhahiri kwamba kila siku zinavyozidi kwenda kuelekea uchaguzi Mkuu ndivyo pia ndoto za fisadi Lowasa na Genge za kushika Dola zinavyozidi kupungua na kufifia kabisa, sasa ni ipi itakuwa hatua ya tatu ya fisadi Lowasa na Genge lake baada ya kwanza kukatwa na tume ya Maadili ya CCM kwa kukosa maadili ya kuongoza, ya pili ni kukataliwa na Watz kwa ujumla wetu kupitia sanduku la kura sasa hatua ya tatu ndiyo ninayoiongelea ikumbukwe kwamba kwake yeye ni Uraisi tu na hakuna kingine na ameshasema pale Mlimani City kwamba Msamiati wa kushindwa kwake haupo, na Je, tutegemee nini kitafuatia baada ya sisi WatanZania kumkataa?

Mimi natabiri kifuatacho; Fisadi Lowasa Genge lake kwa kuwa wanafahamu kabisa kwamba hawawezi kuishi maisha ya Amani bila ya wao kuwa sehemu ya Serikali basi kuna kila dalili ya wao (fisadi lowasa na Genge lake) kulazimisha kwa njia yoyote ile kwa namna moja au nyingine wawepo kwenye Serikali ya Dr.Pombe Magufuli, sasa hapo tukae mkao wa utayari kwani kuna siku ngumu mbele yetu zinakuja na haitakuwa rahisi!
Ningeishauri Serikali ianze kuajili Polisi wa kutosha pamoja na kuita ma reserve wetu na kuwatayarisha!
​ unajuwa yulee jamaa anaye tembea na mama yako ndiyo fisadi mkubwa ! uj) unajuwa kuwee wewe siyo wa!niwa !
 
Utabiri wangu ni kuwa baada ya Oktoba 25 kutakuwa na mtikisiko nchini. Mafisadi wakubwa watafikishwa mahakamani wakiwemo baadhi ya wafanyabiashara na wamiliki (baadhi) wa vyombo vya habari.
 
ccm mna kazi ya kuhubiri vita,fanyeni siasa acheni kutishia raia
 
Genge la Lowassa ni akina nani? wataje na sema wapo chama gani.
 
Next move ni kuunda baraza la mawaziri.
 
Acheni uchochezi.Kama ccm mnauuzika jiaminini na msubirie wananchi wapige kura.Hakuna cha huruma mwaka huu ccm out
 
Jaribu kufikiria pia kama Lowassa anaonewa si ajabu makada wakubwa wakubwa toka CCM wakaingilia kati kumtetea Lowassa kwa maslahi ya taifa....

Si mara moja au mbili tumekuwa tukisikia kuwa huko CCM si wote wanaopendezwa na yafanywayo ma CCM...
 
Kuna kada gani mkubwa mwenye uadilifu anayeweza kumetetea fisadi Lowasa na Genge lake? Tukianza na Tume ya Maadili iliyomkata iliundwa na Maraisi wastaafu, tukija Waziri wakuu wastaafu kama Mzee Msuya, Malachela wameshamlipua fisadi Lowasa ni makada gani tena hawo wakubwa wa CCM zaidi ya Kingunge ambaye mpaka leo hii ameshindwa hata kuhudhuria tu Kampeni za ufunguzi wa fisadi wa Fisadi Lowasa na Genge lake, na unajua kwa nini? Kwa sababu anajua kwamba Fisadi Lowasa na Genge lake hawawezi kushinda Uchaguzi TanZania vinginevyo angeshamfuata, hata Nchimbi anamkapenia Magufuli!
 
Zaidi ya kujua jana na juzi ilivyokuwa, mimi na wewe hatujui kesho wala keshokutwa yetu...

CCM ina watu wengi tu zaidi ya hao wawili watatu uliowaorodhesha hapo...

Na kwa bahati mbaya wapo baadhi ya wanaCCM wanamtetea Lowassa wakiwa huko huko ndani ya CCM na chama hakijawafanya lolote...

Maadamu wapo ndani ya CCM hao hawana madhara yoyote kwa Chama, kuwa na maoni tofauti kunaruhusiwa kila mahali, lkn ukweli unabakia kuwa sababu hasa inayowafanya wasiweze kutoka na kumfwata Fisadi Lowasa na Genge lake ni Moja TU, nayo ni kwamba wanajua kabisa ndani ya mioyo yao kwamba Fisadi Lowasa na Genge lake hawawezi kushinda uchaguzi wa Uraisi TanZania, ni rahisi kihivyo tu!

Vinginevyo hao Wabunge 150 wangeshaondoka, hao wenyeviti wa CCM wa Mikoa/Wilaya aliokuwa anaowangelea wangeshaondoka pamoja na Mgeja, rejea Kenya KANU ambako ukawa hupenda kujifananisha nako ilivyokufa ni kwamba iliamriwa mara moja na wote waliokuwa wanatoka wakatoka na hakuna aliyebakia KANU eti akisema kwamba yuko KANU lkn moyo wake uko Upinzani!

Back
Top Bottom