Newspaper act of 1976

leseiyo

Senior Member
Oct 25, 2007
116
3
tafadhali kama kuna mtu anayeweza kunisaidi wapi nitaweza kupata newspaper act 1976.
naomba nijulishe

asante
 
unaweza kupata duka la serikali mtaa wa Jamhuri karibu na Benjamin Mkapa tower, au jaribu kutafuta kwenye tovuti ya serikali au maktaba ya Open University kama una mtu unamjua anasoma hapo anaweza kuazima nakala ukatoa photocopy halafu akarudisha kwa sababu wanahitaji ID. All the best.
 
Back
Top Bottom