Habari wanajopo mliopo humu ndani! Ninahitaji passport ila katika vigezo moja wapo ni pamoja na kuambatanisha cheti cha mzazi mmoja wapo cha kuzaliwa,lakini mimi hao wazazi wenyewe walifariki nikiwa chini ya miaka mitano na nimelelewa na watu baki tu, nifanye ili nipate hiyo hati ya kusafiria? Nisaidieni tafadhali