News muhimu:msaada jamani wanajamnii | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

News muhimu:msaada jamani wanajamnii

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by beltomaiko, Aug 23, 2012.

 1. b

  beltomaiko Member

  #1
  Aug 23, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jaman naomben msaada mimi nilisoma HGE na nili fell bam o and a lavel af wakanichagulia bach. science in agricultural economica and agrobisness SUA vip kwanai hii mambo ina mahesabu sana?
   
 2. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  mkuu lazima ukubaliane na mimi wewe ni mwoga wa maths! na hii ndo sababu umefeli maths kote huko ulikopita!!
  -sasa mfano maths ipo je hutasoma??
  -kumbuka ile ni BARCHELOR OF SCIENCE IN AGROBUSSINESS AND AGRO ECONOMICS..umenisoma hapa..hii ni bachelor of science na ujue hamna science ambayo haina MATHS!! hapo moja kwa mija ni kwamba MATHS IPO!! NA HILI SI LA KUPINGA KWANI LIPO...
  TURUDI KWENYE UPANDE WA PILI WA SHILINGI....
  JE WEWE UNAIPENDA HIYO PROGRAM?? je unaipenda economics?? kama jibu ni YES then wasi wasi ondoa kwa maana ni kitu ambacho unakipenda na kwa lolote litakalotokea utaliface bila kujali ugumu wake!!!!
  -sio jambo zuri kushindwa vita kabla ya KUANZA MAPAMBANO(kabla hujaingia uwanja wa mapambano) na hili ndo jambo linalotuangamiza watu wengi katika hii dunia!!! JIAMINI!!!
  ZAIDI YA YOTE..HONGERA SANA KWA KUCHAGULIWA SUA..NAIMANI TUTA MIT!!! NA UKIWA NA SHIDA YA MATHS U CAN CONSULT ME NTAKUSAIDIA NTAPOWEZA...USIOGOPE MATHS...ALL THE BEST!!!!
   
 3. SG8

  SG8 JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2012
  Joined: Dec 12, 2009
  Messages: 3,209
  Likes Received: 268
  Trophy Points: 180
  Ushauri mzuri sana. The only thing to fear is fear itself. Kinachokumaliza hapo ni uoga tu basi!!!
   
 4. M

  MAKAH JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2012
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 1,598
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  kuna Econometrics inabidi uzitumie kuipa emperical evidence arguement yako - hesabu nyingi ni applied usiogope!!
   
 5. b

  beltomaiko Member

  #5
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante sana mkuu. tutatafutana.
   
 6. b

  beltomaiko Member

  #6
  Aug 24, 2012
  Joined: Aug 19, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ok nashkuru sana mkuu.
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Aug 24, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Hadi hapo umeishadisco!
   
Loading...