Tazameni juu upande wa Kusini Magharibi (South West) kuna kitu si cha kawaida kinatoa mwangaza. Wenye ma camera ya ku zoom, haya tujuzeni.
Mkoa gani sas maana kwa wengine kusini magharibi inakua ni kusini kamili
Niliahidi kuleta picha, mtandao unasumbua, tuanze na hii:
Camera yenyewe ya simu, hata kutoka hizi nimeshangaa nilidhani hazitoonesha kabisa. Ngoja zipo nyingine ntapandisha.
Hii nyingine, kwa kuwa zote nimepiga from the same angle na same camera zinafanana jaribu ku zoom.
Umenisumbua nimetoka nje na taulo sioni kitu FaizaFoxy.
Kumbe hiyo Shy Land ni urembo tu! mie najuwa Shy = Shinyanga.
Ungetoka utupu tu, kama ni ufo lazima wangekufata.