News alert:Mkutano wa kampeni CDM live, Leganga USA River

Dr.Slaa stejeni.
Kwa nn anamnadi nasari.
1) Kukanusha tuhuma kuwa v nyerere si wa ukoo wa nyerere. Dr anasema v nyerere ni wa ukoo wa nyerere
2Anakanusha tuhuma zilizotolewa na wasira kuwa Dr aliiba pesa za kanisa
3. Amesema pia si kweli kuwa zitto amemtumia waraka, anasema ni uzushi wa magamba, anasema waongo

kampeni za cdm bana ni kukanusha tuuuu, hapo hakuna sera! mungu tuepushe na hawa matapeli
 
kampeni za cdm bana ni kukanusha tuuuu, hapo hakuna sera! mungu tuepushe na hawa matapeli

acha ujinga wewe sera mbona zipo sana tu au una makengeza..naomba uahidi kama nikiweka video za sera za chadema kwenye mikutano ya leo na jana upigwe ban nyangau wewe
 
CCM inajua Arusha haipendwi saizi wanahofia endapo mbinu zao za wizi wa kura zikishindwa basi hali itakuwa tete. Jasho linawatoka mpaka kwenye masaburi!!!!
 
kuna ajali hapa chama ambayo gari limegonga mwendesha pikipiki na kufariki ni maeneo ya chama
 
CCM inajua Arusha haipendwi saizi wanahofia endapo mbinu zao za wizi wa kura zikishindwa basi hali itakuwa tete. Jasho linawatoka mpaka kwenye masaburi!!!!
sasa hivi hapa usa ni wanazomewa tu
 
kampeni za cdm bana ni kukanusha tuuuu, hapo hakuna sera! mungu tuepushe na hawa matapeli
Usilitaje bure jina la Bwana Mungu wako, maana bwana atamhesabia kuwa ana hatia alitajae jina lake bure (as christian nimeona tukumbushane kidogo tusije vuka mipaka )
Mwogope Mungu usitumie jina lake kulaani kwani nawe utalaaniwa kama wanakuudhi waombee ndio wajibu wetu kama wakristo, dua mbaya waachie wenye uwezo na wanaoruhusiwa kusoma dua hizo. kwa imani yao.
 
Ni vizuri tukawa wakweli tofautisha wapiga kura waliojiandikisha wenye vitambulisho na raia wanaofata Chopa unadhani kundi gani watakuwa wengi kwenye mkutano?

Ritz ujaona gari la TOT umeona chopa tu?kweli ukipenda chongo linakuwa kengeza!
 
Ni vizuri tukawa wakweli tofautisha wapiga kura waliojiandikisha wenye vitambulisho na raia wanaofata Chopa unadhani kundi gani watakuwa wengi kwenye mkutano?
Na kweli ina bidi tutofautishe watu wanoenda kutazama chopa na wanao enda kungali fiesta pamoja na ze Komedi
hatavyo maumivu huanza polepole pata dawa hapa
 
oyaaaaaaaaaaaaaaaaa Chadema tupo juuuuuuuuuuuuuuuu, chama cha watu makini, ifike tu hiyo tarehe 1 tuchukua Arumeru.:hand:
 
Back
Top Bottom