News alert:Mkutano wa kampeni CDM live, Leganga USA River

Mkuu in 5min ago nimetokea Maji ya Chai ni aibu kwa CCM walileta gari 2 za washabiki then vitoto ndo viko mbele na wamama wachache walopewa vitambaa na kidogo wakazi majumbani wamekaa wanasikiliza, Lusinde na Mwigulu wakitukana, nimekuja Usa River waaaoooh CHADEMA NEVER COMDARE maelfu elfu. VIVA CHADEMA GOD BLESS CDM

Hiyo ndo chadema bwana, you will vever walk alone!
 
nasari anasema kama sioi anataka kufutwa machozi basi achaguliwe nasali halafu nasari atamnunulia kontena zima ya vitambaa ili ajifute
 
Ni vizuri tukawa wakweli tofautisha wapiga kura waliojiandikisha wenye vitambulisho na raia wanaofata Chopa unadhani kundi gani watakuwa wengi kwenye mkutano?
 
Nasari ni mjenzi mzuri wa hoja, amemaliza, Dr. Slaa stejeni anawatuhumu time ya uchaguzi kwa kuongeza idadi ya vituo kutoka 327 hadi 387
Amesema vituo ni 327
 
dr slaa anasema kwenye mabadiliko yaliyofanywa na tume kuna majina 30 yamepungua hivyo anawaomba wananchi waangalie mapema maana kuna vituo wameongezwa mpaka 50 huku bazi ya vituo wakipunguza kwa idadi hiyo hiyo
 
Dr. slaa amemaliza,
G lema anahamasisha watu kuchangia cdm Kukanusha kampeni.
 
Dr. slaa amemaliza,
G lema anahamasisha watu kuchangia cdm Kuchangia kampeni.
 
dr slaa anasema kwenye mabadiliko yaliyofanywa na tume kuna majina 30 yamepungua hivyo anawaomba wananchi waangalie mapema maana kuna vituo wameongezwa mpaka 50 huku bazi ya vituo wakipunguza kwa idadi hiyo hiyo

Aisee...!!Hivi jamaa huwa anapataje data jamani?!!!!
 
Ni vizuri tukawa wakweli tofautisha wapiga kura waliojiandikisha wenye vitambulisho na raia wanaofata Chopa unadhani kundi gani watakuwa wengi kwenye mkutano?
Hiyo ndiyo sara yenu ya kila siku ya kujiliwaza mtasema nini kingine.
 
Wakuu heshima kwenu
Muda sio mrefu mkutano wa utaanza rasmi. kinachoendelea kwa sasa ni utambulisho wa makamanda kutoka maeneo tofauti. Huku akisubiriwa Dr Slaa na. ujumbe wake.

Updates
John Heche stejeni na wakati huu rais anatua na choper
Picha mkuu tafadhali mkuu
 
Acheni uzushi watu siyo wengi ki hiiivyooo wa kawaida tuu hakuna tofauti na wa CCM!
 
Mbona ccm hawatupi updates za Mikutano yao na wakina rejao na ritz washupalia updates za CDM au kwavile magamba ni mizee na mitandao kwao ni sumu Hawajui kutumia?
 
Back
Top Bottom