Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Kama wewe umechaguliwa kwenye chuo au program ambayo hukuichagua kabisa kwenye zile 8 ulizoomba,na vile vile kama umechaguliwa kwenye 2nd round of application no matter uwe unasoma program zenye priority or non priority,anza kuandaa ada yako mapema tu coz mkopo haukuhusu kabisa{kwa kifupi mkopo ni kwa watu waliochaguliwa kwenye 1st round of application kwenye moja ya zile program zao 8 walizoziomba}kwa maelezo zaidi,unaweza kunipata kwenye number 0688528887.asanten