News alert:another updates from heslb. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

News alert:another updates from heslb.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Perry, Sep 16, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Kama wewe umechaguliwa kwenye chuo au program ambayo hukuichagua kabisa kwenye zile 8 ulizoomba,na vile vile kama umechaguliwa kwenye 2nd round of application no matter uwe unasoma program zenye priority or non priority,anza kuandaa ada yako mapema tu coz mkopo haukuhusu kabisa{kwa kifupi mkopo ni kwa watu waliochaguliwa kwenye 1st round of application kwenye moja ya zile program zao 8 walizoziomba}kwa maelezo zaidi,unaweza kunipata kwenye number 0688528887.asanten
   
 2. M

  Msafwa wa swaya JF-Expert Member

  #2
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 4, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mbona hujatoa chanzo cha habari?pia sisi tutajuaje kama ndivyo ilivyo?
   
 3. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #3
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mkubwa Perry ama kweli Mjumbe hauwawi!
  pia it's cool ukitoa source ya taarifa hizi
   
 4. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #4
  Sep 16, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  toa source mkuu....
   
 5. Zeddicus

  Zeddicus JF-Expert Member

  #5
  Sep 16, 2012
  Joined: May 5, 2012
  Messages: 590
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 60
  the source is always aknowledged
   
 6. z

  ze dudu01 JF-Expert Member

  #6
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  daah kaka ingekuwa pouwa sana kama ungetupatia tarehe rasmi ambayo watatoa mambo !!
   
 7. Geofrey_GAMS

  Geofrey_GAMS JF-Expert Member

  #7
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 15, 2012
  Messages: 564
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  hyo hata mimi nmeckia jaman 2nd round huw hawapata ki2
   
 8. J

  Joan Joel333 Member

  #8
  Sep 16, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  serikali ya magamba inafanya kazi mzee ni kipiga chinitu ndicho kilichobaki wana jf
   
 9. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #9
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  source ya hii news,ni mimi mwenyewe leo nimekutana na loan officer wa heslb kanisani,kwa wale mliowah kufika pale ofic za heslb,kuna yule jamaa ctataka kumtaja jina lake,ofisi yake huwa iko pale room number 34,nadhani ofic yake kama cjakosea huwa imeandikwa loans disbursement department.
   
 10. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #10
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mzee yaani yooote hayo ukashindwa muuliza swali la msingi, WANA ACHIA MZIGO LINI??
  mimi nikikutana na Officer wa HESLB ni salamu ama baada ya salamu ni swali "MZIGO UNAINGIA LINI??"
   
 11. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #11
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  mkuu,ckukumbuka kumuulza hlo swali,bt ktk maongezi yetu aliniambia wao wanaenda na time table,waliisha vitangazia vyuo vyote vifungue mwezi wa 10,sasa kwa vile ambavyo vitafungua kabla ya hapo,wao hawatakua wa kulaumiwa na vyuo hucka viangalie namna ya kuwa accomodate wanafunzi wao mpaka pesa ctakapotumwa hyo mwezi wa 10.
   
 12. z

  ze dudu01 JF-Expert Member

  #12
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa iyo kitu ni mpaka mwezi wa kumi net ryt
   
 13. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #13
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  hakuniambia majina ya mikopo yanatoka lini,bt alichoniambia pesa kupelekwa vyuoni ni kuanzia mwez wa 10,na pia kuna baadhi ya vyuo kama udsm na udom wao list ya waliopata mkopo iko tayari,hii ni kwa sababu ya ud na udom walipeleka list ya wanafunz waliowachagua mapema,ila kutokana na utaratbu ulvo,hawawez kutoa list ya vyuo viwil pekee,mpaka vyuo vyote vikamilike ndo watatoa majina yote kwa pamoja.
   
 14. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #14
  Sep 16, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Sasa hapo imebaki kazi ya ze duduz atuletee "Loan Allocation Upload"
  teh! teh! teh!
   
 15. c

  chalema06 Member

  #15
  Sep 16, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  je na wale wanoendelea na masomo ambao mwaka wa jana walikosa kabisa kwa maana ya NO LOAN xo wakaamua kuomba mwaka huu nao vip kutokana na dodosa dodosa yako nao watawa consider au ndo watachinjiwa baharini, majibu tafadhali mkuu
   
 16. songoros

  songoros Senior Member

  #16
  Sep 16, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Hamna kitu kamahicho.kwani ukiomba 2round ndo ukose mkopo.MFANO KUNACHUO CHA MEDICINE Kimeanziswa songea second round.na kinapriority 2600000 kwa 2600000 inamaana wote waliopata songea watakosa mkopo???LAMCNGI NI KUSUBIRIA TU BASI.
   
 17. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #17
  Sep 16, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  hilo swali lako cjaliuliza mkuu!
   
 18. songoros

  songoros Senior Member

  #18
  Sep 16, 2012
  Joined: May 26, 2012
  Messages: 156
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mwenye sifa yakupata mkopo atapata regardless kaomba first au secondround!!
   
 19. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #19
  Sep 16, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,902
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  Leo ni kama uko mkweli vile
   
 20. Kurzweil

  Kurzweil JF-Expert Member

  #20
  Sep 16, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 4,902
  Likes Received: 4,759
  Trophy Points: 280
  Leo unanishawishi kaina flani:ranger:
   
Loading...