Niko hapa nashuhudia live ushindi wake wa Carabao Cup tangu kombe lianzishwe miaka ya 1960s. Isak, kijana mwenye asili ya Afrika, kaseal fate ya ushindi huu kwa bao lake la pili mapema kipindi cha pili. Very attractive match it was. Licha ya Liverpool kufunga dakika za nyongeza, haijasaidia kitu. Hadi mwisho wa mchezo, Liverpool 1 -Newcastle 2.