Newcastle United creates prayer room for Muslim players

Newcastle United creates prayer room for Muslim players

Ibada zote zinahitaja faragha, na sidhani kama mtu mwenye akili zinazotosha anaweza kusuggest kuwa Chicharito anavyopiga ishara ya msalaba ndio anakuwa amesali.

By the way, we are not robots, tunasali kila inapowezekana na sio kwa vipindi vilivyoamriwa na mtu yeyote. Mungu tunayemwamini yupo wakati wote, usiku na mchana, jua na mvua, yeye yupo tayari kukusikiliza na hauhitaji kuvaa nguo ndefu kama Yesu, lah, yeye si Mungu wa nguo wala ndevu

Vazi bora limetajwa katika Biblia kuwa kanzu ya kitani na mshipi kiunoni na suruali laini, ndio vazi takatifu. Yesu (kwa mujibu wa zile picha) alikuwa na ndevu pamoja na Mitume wote wengine.
Kuna tofauti ya kuomba na kusali, Waislaam wanasali mara tano kwa siku na wanahitaji faragha ! Na ndio sababu ya kupewa sehemu.
 
Back
Top Bottom