New Zimbabwe: Tanzania police kill University student

Napenda kuwatangazia umma wa watanzania wote kuwa kinachofanyika nchini sio matukio yanayotokea sio kwa bahati mbaya. Katika jicho la tatu ni wazi Magu anataka kubadilisha katiba kutawala milele. Magufuli

1.Mauaji ya kutisha.

Ni wazi na wengi wetu mmeona matukio ya mauaji ya kutisha yanayotokea toka uhuru wa nchi hii. Tunaanza na Kibiti,watu kupotea,viongozi wa upinzani kupigwa risasi na kuuwawa na hata kuminya demokrasia. Magufuli anachotaka kufanya watu wasiongee na wala wasiwe na maoni juu ya nchi yao na yeye kufanya kile anachotaka kufanya nacho ni kutawala maisha.

2.Utawala wa Mabavu (Police State).

Sasa hivi kama mnavyoona,jinsi gani polisi wameshika nguvu na kutumia mabavu juu ya wananchi. Wanatumia nguvu nyingi kushindana na raia ambao hawana silaha.
Kwa mfano tukio lililosababisha kufa kwa mwananfunzi kwenye basi ni tukio liliopangwa.Haiwezekani katika mtu kwenye basi akapatwa na risasi (point black) kama hakuna aliyedhamiria na kufanya target kuua raia. Huyu mwanafunzi aliuwawa kwa makusudi kabisa.

3. Singularity and popularity.
Magufuli anachotaka kufanya ni kutawala milele na kufuta kabisa kwa kila namna yoyotw ukosoaji wa serikali yake na upinzani.
Anachotaka ni kubadilisha katiba na wabunge wa CCM hawtakuwa na kipingamizi bali kusema ndio. Hapo ndio itakuwa mwisho wa Tanzania.Raisi magufuli pia anatafuta matukio kwa hali yoyote kwa kutunga au uwongo kujaribu kuwa relative na kuonyesha anapendwa.

Nilichokiandika hapa ni mawazo yangu mwenywe na maon yangu.
 
Hayo mawazo si yako peke yako yanawakilisha wengi nami ni mmoja wao. Kwa hiyo ondoa dhana kuwa ni yako. Tupo wengi ila wanaogopa kusema
 
Aquilin si wa kwanza na wala hata kuwa wa mwisho katika kipindi hiki cha utawala wa Magufuli. Wananchi wajue kuwa hili si swala tu la kisiasa bali ni swala la kulazimisha kuwepo madarakani.

Mambosasa " askari walishuti risasi hewani ikampata mwanafunzi katika basi" Du mabasi ya sasa hivi yanaruka angani kama ndege. Police state - Tanzania.

Safari hii wamepatikana.
 
We Paschal Mayalla una matatizo. You're always NOT positive to Tanzania. Tumekuchoka. Acha ujing
Mimi niko very positive na ni mzalendo wa kweli wa taifa langu. Kama ulizoea wale wazalendo wa kusifu tuu na kupongeza, lazima unichoke, kwa sababu formula yangu ni kusema ukweli daima.

P
 
Back
Top Bottom