New York Times wamsifu Babu wa Loliondo

Naona babu anaendlea kupelekwa kila jukwaa, alianzia, International, akapelekwa chit chat, sasa yupo udaku, !!

Kweli babu katawala JF
 
jamani, hivi thread kama hii nayo ni jokes/utani? ni udaku/gossip? mbona mimi sielewi jamani,

utaiiitaje habari iliyoandikwa na chombo cha habari na link ya source yake imewekwa na ni halisi gossip?

tusaidieni hapo jamani

au imewekwa kwenye hili jukwaa imakosa?

hap kazi ipo
 
Miss J umetazama kwa mapana yake...ndo maana nimejibu kiserious thread rasmi japo ipo kwenye jukwaa lisilohitaji userious...
 
Naona babu anaendlea kupelekwa kila jukwaa, alianzia, International, akapelekwa chit chat, sasa yupo udaku, !!

Kweli babu katawala JF

yaani kwa thread kama hii kuhamishiwa jukwaa la gossip ....

naamini hatimaye, neneo la Mungu litamshinda babu na biashara zake
 
Back
Top Bottom