New white elephant airport terminal in Dar

Tanzania tuseme ukweli wala tusijilinganishe na kenya kwa sie tulio mpakani Kenya wametuzidi kila kitu isipokuwa Ardhi,mapishi na kuzaliana mengine sie sifuri tu
 
Angalia hapa ndege za Dar Kigoma ndio huwa zinajaa mwezi mzima,
View attachment 1282135

Kwenye hiyo picha hapo inaonyesha betri ya simu yako imesalia 9% halafu huku unateseka ukijaza mapicha kwenye server za watu, unajisifia abiria kujaza mkondo wa flight moja kwa siku.
Angalia Dar Kigoma kesho flight ni moja tu siku inaisha.
 
Kigoma ni Mji mdogo sana, ulitaka twende mara nne kwa siku kama Mwanza au KIA?
Tulia mzee na uache umbeya 9% inahusikaje hapa, Besides have you ever tried korosho ni Bia
IMG_1787.JPG
 
View attachment 1282165

Hata hiyo Mwanza huko kwa wakulu wenye nchi kwa sasa ina flight tatu tu basi, jaribu check KQ Nairobi - Mombasa freaking nine flights.

Duh... bia na korosho asubuhi...kwaheri
 
Back
Top Bottom