New (WD) External Hard Drive for Sale

New (WD) External Hard Drive for Sale

dos un

Member
Joined
Nov 24, 2015
Posts
24
Reaction score
9
Jipatie external drive aina ya Western Digital (WD) kwa shilingi 170,000. Size ni 1.5 TB from europe. Zinawasili kuanzia tarehe 14 dec. Weka order yako free delivery in DSM. Wa mikoani utasafirishiwa kwa gharama binafsi.
Karibuni sana.
Kwa mawasiliano. +255755278729
 
Kuna kitu kinaitwa Western Digital media player? No aina ya external HDD ambayo INA remote na unaweza kuitumia kwenye TV na computer. Je unaweza kuniulizia?
 
Mu-sir sawa order yako imepokelewa.

Ramzy sawa nitakuulizia na kukupa jibu.
Karibuni.
 
Nimecheki na hiyo WD media player haipo ila ipo design kuna inayoitwa Giga....
 
Back
Top Bottom