New video "Don't bother" Joh Makini ft. AKA

New video "Don't bother" Joh Makini ft. AKA

Kwani Nahreel hawezi kukopy beats za kimarekani? Mfano ni hiyo ngoma.Tatizo wabongo mkimpenda mtu hamtaki huyo mtu akosolewe.
Watu wanacopy tu beats za kimarekani,
maudhui mazito kuliko fani.

brother tumekuelewa... lakinu amekopi wapi hyi beat? nahitaji kujua tuu
 
Bonge la song kuanzia audio mpaka video.I see.... you Joh International..Ma-MC wengine wa bongo wajitahidi kufanya vitu ka hivi mziiki wetu ukue zaidi na zaidi.
 
safi sana, diamond, joh makini, jux , kiba na vmoney wanatuwakilisha vyema kimataifa.....shaa naye hebu aamke alipolala maana ana swaga za kimataifa kama vmoney
 
Unaandikiwa na Nikki....
..Sijui hiyo kalamu jomba naandikia Biki...
 
Ukisikia anajiita zungu la flow usidhani utani... Huyu mtu hatari
 
Karibu tena kwenye show za Joh "kwa nusu nusu" na "don't bother" umeenea kwenye mizani ya International artist bigup
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom