New video "Don't bother" Joh Makini ft. AKA

New video "Don't bother" Joh Makini ft. AKA

Kidingi

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
1,872
Reaction score
1,832
Baada ya kazi hii kutambulishwa rasmi jana kupitia kituo cha Mtv base, leo Joh makini amekiachia upande wa youtube

Wimbo : Dont bother
Producer : Nahreal
Director : Justin Campus
Location : South Africa
Amemshirikisha Rapper AKA wa South Africa

Support good music, ukiingia youtube usisahau kusubscribe account yake
 
Last edited by a moderator:
Video kali audio kali. Nimependa mbwembwe za G walawala kwenye kichupa anajua sana mnyamwezi.
 
Video nzuri mashairi yani kila kitu supa. Joh hatoi nyimbo anatoa hit. Proudly As Weusi big fan
King Joh Makini 👑👑👑
 
Bonge la kichupa chenye bonge la ngoma.
 
Ni kweli hakuna kitu, video nzuri ila audio imekaa kimarekani zaidi

Unataka Joh makini kila cku abaki local hii ngoma lazima ivuke boda angalau tumuone Ana shindana na wakina cassper nyovest, a.k.a, sarkodie, k.o na olamide ila don't bother
 
Unataka Joh makini kila cku abaki local hii ngoma lazima ivuke boda angalau tumuone Ana shindana na wakina cassper nyovest, a.k.a, sarkodie, k.o na olamide ila don't bother

Kwani kuwa wa kimataifa ni lazima ucopy beats za kimarekani?
 
Kwani kuwa wa kimataifa ni lazima ucopy beats za kimarekani?

Beat ya nani ime copiwa kwan kuna beat ya marekani na beat ya Tanzania beat ime pigwa na nahreel izo ndo beat zke kasikiliza game, no body but me ndo beat zke zilivyo
 
Beat ya nani ime copiwa kwan kuna beat ya marekani na beat ya Tanzania beat ime pigwa na nahreel izo ndo beat zke kasikiliza game, no body but me ndo beat zke zilivyo

Kwani Nahreel hawezi kukopy beats za kimarekani? Mfano ni hiyo ngoma.Tatizo wabongo mkimpenda mtu hamtaki huyo mtu akosolewe.
Watu wanacopy tu beats za kimarekani,
maudhui mazito kuliko fani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom