New Viagra

uncle

JF-Expert Member
Dec 10, 2007
322
184
nimepata taarifa ya kuwa kuna na dawa mpya ya kuongeza nguvu za kiuume.

nasikia inatengenezwa Kenya, iko katika hali ya unga unga ,ni kipakti kidogo.
Naomba kama mtu ana jina lake na wapi inapatikana hapa Dar es salaam , anihabarishe
 
Ya nn ww kula vizuri fanya mazoezi nguvu zitakua poa tu acha kula madawa yasiyo na msingi wowote utapoteza network kabisa.Huu ni ushuri wangu tu.
 
Ya nn ww kula vizuri fanya mazoezi nguvu zitakua poa tu acha kula madawa yasiyo na msingi wowote utapoteza network kabisa.Huu ni ushuri wangu tu.

Ale vitu gani, na afanye mazoezi gani? Toa masaada zaidi mkuu
 
Kama uliwahi kutumia kahawa, mara ya kwanza ukitumia kidogo unachangamka kweli kweli lakini baada ya muda kidogo hata ukiweka vijiko
viwili huchangamki kama mwanzo, hali hiyo itaendelea mpaka unazoea kahawa kama maji! HIVYO HIVYO UKIZOEA DAWA ZA KUONGEZA NGUVU
ILE 'NATURAL ALERT OF SEXUAL DRIVE ' INAPOTEA mpaka inafikia hatua ya, hamna dawa hamna gemu. Hivyo basi, usitumie dawa hizo
kabisa badala yake kula mlo kamili na zingatia mazoezi, pia jitahidi kuepuka vilevi na vyakula vya sukari kwa wingi.La muhimu usisahau kujifunza
kupambana na msongo wa mawazo(stress,tension) hata kama maisha ni magumu kiasi cha kutoelezeka! KUMBUKA
Life is short!
Break the rules!
Forgive quickly!
Kiss slowly!
Love truly,
Laugh uncontrollably. .
And never regret anything
that made you smile.
 
Back
Top Bottom