new track: niko single

Baba V, hebu njoo utangaze rasmi kuvunjika kwa hii ndoa ndoano nilifanikiwa kujinasua, nawazibia wadau riziki zao, watu wanataka kujibebea
 
Last edited by a moderator:
[intro]
Ni miezi kadhaa imepita niliposema �I do� kwa mke wangu.
Hata mwaka haujaisha nshasema Goodbye.
(Unh) chumba changu cha kulala kimepwayaaa
Ulikijaza kwa tabasamu, kwa jinsi ulivokuwa charming�
Na nnachotaka kusema ni..

[kiitikio]
Baby, ntakumiss
Na nikikuona mitaani nitakusemesha,
Lakini kwa sasa it�s official.
warembo, I�m single.
Mkiniona mitaani,
Msiogope kunisemesha,
Nahitaji mwanamke mwingine
niko single

[verse 1]
mpenzi nilikupa kila kitu ili ufurahi. (uhm yeaaah)
nilikupa dunia yangu lakini ulitaka uonje vya nje.
(Ooo ooo)
Siwezi kuendelea kuwa na mtu
Ambaye nikitoka naye anatoka.


[kibwagizo]
Ooooh Baby, ntakumiss
Na nikikuona mitaani nitakusemesha,
Lakini kwa sasa it�s official.
warembo, I�m single.
Mkiniona mitaani,
Msiogope kunisemesha,
Nahitaji mwanamke mwingine
niko single


[bridge]
mhhh sometimes nashikwa upweke (upweke sana) ((na-na-naaaa))
na nnakuwa nahitaji mtu (ooo)
wa kunifanya (huuuhhh)
niseme� (ooo baby)
Ooo Ooo Ooo baby (yeah e yeaaah)
Yeah yeah (yeah e yeaaah)

kweli Baby, ntakumiss
Na nikikuona mitaani nitakusemesha,
Lakini kwa sasa it�s official.

[verse 2]

Kimoyomoyo ulikuwa unatamani siku ya kuachana ifike
Huku ukijifanya hutaki tuachane.
Ukajiliza kinafiki eti bado unanipenda
Ni shetani tu (alikupitia�.)
Kumbe mimba haikuwa yangu, nimelea miezi nane,
Na sasa ukweli umejulikana�
Baby!

[kibwagizo]
ntakumiss
Na nikikuona mitaani nitakusemesha,
Lakini kwa sasa it�s official.
warembo, I�m single.
Mkiniona mitaani,
Msiogope kunisemesha,
Nahitaji mwanamke mwingine
niko single


[outro]
(Ooo huuuh ooo baby)

niko single
(Yea e yeaaah)
(Yea e yeaaah)

(Ha! ) niko single
(Oooh huuuh (uh-uh) oooh baby)

Niko single
(Yea e yeaaah)
(Yea e yeaaah)


Song: Niko Single
Artist: C6
Studio: Mtaawasaba Studios

Dedication: Naomba unisamehe wa yuleee nimemsahau jina
 
Back
Top Bottom