new track: niko single

Joeli

JF-Expert Member
Apr 25, 2011
4,941
3,402
[intro]
Ni miezi kadhaa imepita niliposema �I do� kwa mke wangu.
Hata mwaka haujaisha nshasema Goodbye.
(Unh) chumba changu cha kulala kimepwayaaa
Ulikijaza kwa tabasamu, kwa jinsi ulivokuwa charming�
Na nnachotaka kusema ni..

[kiitikio]
Baby, ntakumiss
Na nikikuona mitaani nitakusemesha,
Lakini kwa sasa it�s official.
warembo, I�m single.
Mkiniona mitaani,
Msiogope kunisemesha,
Nahitaji mwanamke mwingine
niko single

[verse 1]
mpenzi nilikupa kila kitu ili ufurahi. (uhm yeaaah)
nilikupa dunia yangu lakini ulitaka uonje vya nje.
(Ooo ooo)
Siwezi kuendelea kuwa na mtu
Ambaye nikitoka naye anatoka.


[kibwagizo]
Ooooh Baby, ntakumiss
Na nikikuona mitaani nitakusemesha,
Lakini kwa sasa it�s official.
warembo, I�m single.
Mkiniona mitaani,
Msiogope kunisemesha,
Nahitaji mwanamke mwingine
niko single


[bridge]
mhhh sometimes nashikwa upweke (upweke sana) ((na-na-naaaa))
na nnakuwa nahitaji mtu (ooo)
wa kunifanya (huuuhhh)
niseme� (ooo baby)
Ooo Ooo Ooo baby (yeah e yeaaah)
Yeah yeah (yeah e yeaaah)

kweli Baby, ntakumiss
Na nikikuona mitaani nitakusemesha,
Lakini kwa sasa it�s official.

[verse 2]

Kimoyomoyo ulikuwa unatamani siku ya kuachana ifike
Huku ukijifanya hutaki tuachane.
Ukajiliza kinafiki eti bado unanipenda
Ni shetani tu (alikupitia�.)
Kumbe mimba haikuwa yangu, nimelea miezi nane,
Na sasa ukweli umejulikana�
Baby!

[kibwagizo]
ntakumiss
Na nikikuona mitaani nitakusemesha,
Lakini kwa sasa it�s official.
warembo, I�m single.
Mkiniona mitaani,
Msiogope kunisemesha,
Nahitaji mwanamke mwingine
niko single


[outro]
(Ooo huuuh ooo baby)

niko single
(Yea e yeaaah)
(Yea e yeaaah)

(Ha! ) niko single
(Oooh huuuh (uh-uh) oooh baby)

Niko single
(Yea e yeaaah)
(Yea e yeaaah)


Song: Niko Single
Artist: C6
Studio: Mtaawasaba Studios
 
khaa yaani mkwe hizi taarifa zilinitetemesha hadi magego...ila ndio hivyo,dunia hadaa walimwengu shujaa...
ushirikiano ndio jambo la heri...

mkwe japo mimi na binti yako imeshindikana, na imani tutaendelea kuwa pamoja maana siwezi kutupa jongoo na mti wake,
 
Back
Top Bottom