Jana nilisema kuwa "Chadema Kuteketezwa"
Leo Mwana kijiji amekuja na jipya la Raia Mwema na Dr. Slaa.
Taarifa za kina ndani ya Chama hicho kinadai, kuwa Dr. Slaa bado hajaridhia kugombea Urais licha ya kupata msukumo mkubwa kutoka kwa wananchi. Dr. Slaa ambaye ni Kiongozi makini kuliko wote Tanzania , bila hofu atamsumbua sana JK 2010 ikiwa ataridhia maombi ya wananchi.
Amejitokeza mara kadhaa kukiri kuwa hana mpango na Urais. Wala hiyo siyo mkakati wake, watu wa karibu yake wanasema kuwa bado na kiu na Ubunge.
Raia mwema bado ina lack jambo moja, inaandika habari kitaaluma zaidi, target yake ni middle class. wakati mwana Halisi kama udaku wa kisiasa inaeleweka na kila Mtanzania.
Tusubiri - Nadhani Zito anafaa sana kwa 2010 kwa Chadema!
Kwa vigezo gani umetumia kusema ni kiongozi makini kuliko wote Tanzania?? Ushabiki mwingine bana..hadi unakuwa kipofu..Slaa ni kiongozi mlalamikaji mzuri sana Tanzania...(I will fight abakie upinzani milele)Jana nilisema kuwa "Chadema Kuteketezwa"
Leo Mwana kijiji amekuja na jipya la Raia Mwema na Dr. Slaa.
Taarifa za kina ndani ya Chama hicho kinadai, kuwa Dr. Slaa bado hajaridhia kugombea Urais licha ya kupata msukumo mkubwa kutoka kwa wananchi. Dr. Slaa ambaye ni Kiongozi makini kuliko wote Tanzania , bila hofu atamsumbua sana JK 2010 ikiwa ataridhia maombi ya wananchi.
Amejitokeza mara kadhaa kukiri kuwa hana mpango na Urais. Wala hiyo siyo mkakati wake, watu wa karibu yake wanasema kuwa bado na kiu na Ubunge.
Raia mwema bado ina lack jambo moja, inaandika habari kitaaluma zaidi, target yake ni middle class. wakati mwana Halisi kama udaku wa kisiasa inaeleweka na kila Mtanzania.
Tusubiri - Nadhani Zito anafaa sana kwa 2010 kwa Chadema!
Upinzani ni muhimu utilie mkazo kuelimisha wananchi hasa wa vijijini bila ivyo haya majambazi yataendelea kupora labda tuamue kutafuta machine gun
Baada ya kudokezwa kuwa Dr. Slaa anaweza kupendekezwa na chama chake kuwa mgombea wa Urais mwakani a new strategy imeanza kutengenezwa yenye kukumbushia jinsi Mrema alivyokuwa neutralized. Mbinu hii ni ile ile ya kuchafua, kupandikiza hofu, na zaidi ya yote kuquestion utimamu wa mtu... Dr. Slaa ameonja kidogo makali ya CCM political machinery lakini kama kweli Chadema wanafikiria hivyo mtashangaa mashambulizi yajayo!! He better brace himself kwani CCM wanajua kabisa JK vs Slaa itakuwa an uphill battle!
Mkuu Mwanakijiji,
Kuna kipengele kimoja ambacho CCM watakitumia kumpaka Slaa kama itakuwa JK vs Slaa. Ili kisiwe na uzito, ingefaa Slaa amshawishi Prof. Lipumba awe mgombea mwenza na hapo wata-neutralize hiyo ngebe.
Mimi nawashauri CHADEMA kuwa wasiweke mgombea urais mwaka 2010 kwani Slaa na Zitto ni wachanga sana na hawaTOSHI wanahitaji muda sana kukomaa.
kwa Bahati mbaya sana wengi wetu huwa tunakariri propaganda za CCM nsa kuamini kwamba ndiyo ukweli wenyewe. upinzani sasa hivi una nguvu zaidi maeneo ya Vijijini kuliko mijini.
vyama vingine vimeanza kupata kura nyingi zaidi vijijini kuliko mijini. wakati sehemu nyingine za Tanzania CHADEMA imepata viti vingi kwenye serikali za mitaa,lakini imeambulia viti vinne tu kwenye jiji la Dar es salaam!!
hoja hii ya kuelimisha wanavijiji ni sawa na ile inayosema vyama vingine viungane ili kuitoa CCM. inawezekana kweli timu nyingine ziungane ili ziitoe Simba kileleni? ili nani awe mshindi kati yao?
Dr. Slaa anauwezo mzuri na anauzika kwa wapiga kura kuliko Bwana Mbowe. Lakini Dr. Slaa anajulikana zaidi mijini kuliko vijijini na katika uchaguzi wa urais watu wa vijijini ndiyo hasa wapiga kura, hivyo bado JK anaendelea kuongoza nchi.
Dr Slaa akiwa Rais (Mungu apishie mbali) nahamia Cambodia. Slaa huyu huyu alienunua nyumba kwa kutumia pesa za mayatima akiwa Padri, Slaa huyu huyu ambae ndie msimamimizi mkuu wa pesa za Chadema anamuachia Mbowe anakwapua mapesa ya ruzuku kwa kisingizio cha kujilipa madeni hewa.
Dr Slaa yupo Bungeni miaka 15 sasa hana lolote la kuwaonyesha wananchi wa Karatu za kelele za Mwembeyanga.
Dr Slaa? NO thank you!

Dr Slaa hafai kuwa Rais na hii ni kwa sababu urais ni zaidi ya kufyatua mabomu Mwembayanga.
Juhudi zake jimboni si za kubeza hata kidogo hata hivyo urais sio tu hawezi bali hapati na hasa ukizingatia chama atakachogombea si chama cha siasa ni genge la wabangaizaji wa mjini tu

Dr Slaa ana uwezo mkubwa sana ukimlinganisha na Rais wa sasa. Labda wewe humjui vizuri. Tunahitaji rais anayeweza kukemea uovu, hasa ufisadi, na mwenye uchungu na nchi yake. Sifa hizi Slaa anazo na JK hana!
This si coming from the horse's mouth. Personal secretary wa Makame kanena someni btn the lines...... beg to differ, itakuwa kama kumsukuma mlevi!
Ulipong'ang'ania TANESCO inunue mitambo chakavu ya DOWANSunaweza kuweka hata ushahidi wa kimazingira?
Mods hawezi kukusaidia kamwambie mkuu wa nji mwenyeweMods naanza kupata wasiwasi na utendaji wenu wa kazi,huyu jamaa anamtusi mkuu wa nchi na bado anaendelea kuleta kichefuchefu hapa jamvini,nina wasiwasi yaliyowapata the utamu yatarudia huku.Kuweni makini na watawala wa nchi kwani hata ktk biblia imeandikwa ni wajibu wenu kutii mamlaka ya wanaotawala.Take care!
Msamehe anasiku mbili humuMkuu, usitutie hasira saa hizi... mnataka kuwa watawala siyo viongozi... hii si ufalme, ni demokrasia, kama mkuu wa nchi hajiheshimu na sisi hatutamheshimu, Ebo! Usitutishe, kama una la kusema na la kumtetea useme, siyo kuleta vitisho hapa!
Nakubaliana na Mchukia Fisadi, sehemu pekee inayokufaa ni Mirembe. Mwenye akili timamu hawezi kusema kitu kama hicho hapo juu akisahau kuwa dakika mbili kabla alisema hicho nilicho quote hapo chiniDr Slaa akiwa Rais (Mungu apishie mbali) nahamia Cambodia. Slaa huyu huyu alienunua nyumba kwa kutumia pesa za mayatima akiwa Padri, Slaa huyu huyu ambae ndie msimamimizi mkuu wa pesa za Chadema anamuachia Mbowe anakwapua mapesa ya ruzuku kwa kisingizio cha kujilipa madeni hewa.