New syllabus-Certified Public Accountants (CPA)

Y

ynyend1

Member
Joined
Nov 19, 2012
Messages
74
Points
0
Y

ynyend1

Member
Joined Nov 19, 2012
74 0
Kwa wadau ambao mnasoma accounting and finance courses!! je mmeona syllabus mpya ya CPA to come into force from November 2013?? Hope it will make the profession more international, me kwa kweli nimeifurahia sana...Pia nimeona walio-review syllabus ya board ya NBAA, wamesema kwamba wanataka pia syllabus za vyuon zibadilike especially for the accounting and finance courses so as to adhere to the new NBAA syllabus in order to get some exemptions! kwa hiyo vijana ambao bado mko vyuon mjizatiti ki-kwelikweli maana the syllabus is more internationally; but be happy that you are going to learn more international things in the new syllabus, Challenge inabakia kwa walimu; Je wamejiandaa vipi na hii NEW NBAA SYLLABUS?? wasiwamezeshe sumu wanafunzi!!!
 
C

CAY

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Messages
500
Points
195
C

CAY

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2011
500 195
Ni kweli mtaala umekuwa comprehensive,changamoto ni kwa walimu.Lakini kwa kuwa tunaamini kuwa walimu wanajisomea kila siku ili kuwa current,naamini watakabiliana na hali hii.
 
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2011
Messages
14,510
Points
2,000
MTAZAMO

MTAZAMO

JF-Expert Member
Joined Feb 8, 2011
14,510 2,000
Mkuu ynyend1 unaweza kutoa highlight za hiyo syllabus? nitaipataje?
 
Last edited by a moderator:
Obama wa Bongo

Obama wa Bongo

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2012
Messages
5,176
Points
2,000
Obama wa Bongo

Obama wa Bongo

JF-Expert Member
Joined May 10, 2012
5,176 2,000
Kwa wadau ambao mnasoma accounting and finance courses!! je mmeona syllabus mpya ya CPA to come into force from November 2013?? Hope it will make the profession more international, me kwa kweli nimeifurahia sana...Pia nimeona walio-review syllabus ya board ya NBAA, wamesema kwamba wanataka pia syllabus za vyuon zibadilike especially for the accounting and finance courses so as to adhere to the new NBAA syllabus in order to get some exemptions! kwa hiyo vijana ambao bado mko vyuon mjizatiti ki-kwelikweli maana the syllabus is more internationally; but be happy that you are going to learn more international things in the new syllabus, Challenge inabakia kwa walimu; Je wamejiandaa vipi na hii NEW NBAA SYLLABUS?? wasiwamezeshe sumu wanafunzi!!!
mejitaidi kuitafuta ila imeshindikana ,kama kuna mdau anaweza kutusaidia itakuwa bomba
kama vp mtoa thread tupe mwanga kidogo
 
Y

ynyend1

Member
Joined
Nov 19, 2012
Messages
74
Points
0
Y

ynyend1

Member
Joined Nov 19, 2012
74 0
Syllabus kwa ufupi ni kama ifuatavyo hapa chini... ninayo syllabus kwenye soft copy...may be if interested give me email me at yustino2007@yahoo.co.uk; then I will forward it to you!!
The syllabus components

1. Knowledge and skills level

 • Quantitative techniques
 • Business and management
 • Accounting
 • Business information
 • Business law

2. Skills and analysis in context level

 • Financial management
 • Financial accounting
 • Auditing principles and practice
 • Tax and public finance
 • Performance management
 • Management, governance and ethics

3.Professional analysis, application
and evaluation level

 • Reporting
 • Assurance
 • Business and corporate finance
 • Finance and taxation
 
Mkuu NBAA wametangaza kuwa tar 6 December 2012 Arusha ndio wanazindua syllabus mpya,hii si discussion paper tu pengine kuna changes?
 
Forum statistics

Threads 1,285,937
Members 494,834
Posts 30,879,725
Top