ZionTZ
JF-Expert Member
- Oct 6, 2009
- 1,283
- 538
Katika zunguka zunguka huko YouTube leo nimeona wimbo mpya wa Diamond unaitwa Eneka upo kama nyimbo za Tekno kinamna flan ila ni mzuri.
Naona kaamua kufyatua tu midude kimya kimya. Diamond anataka kutupandisha presha aisee...
Naona mtaa wa pili upo kimya sana, mondi ashaachia nyimbo nyingi sana lakini jirani yupo kimya. Mshtueni aisee hili gap linazidi kuwa kubwa.
Dondosha comment zako hapa jamaa kaitambalia biti vyema au akajipange??