Le Grand Alexei
Senior Member
- Nov 9, 2011
- 116
- 83
pole sana kwa kukata tamaa. mkono mtupu haulambwi. lowasa ametoa hela nyingi sana alizotuibia watanzania makanisani na sasa hivi haya unayoyaona ni matunda yake tu. kwangu hilo sio tatizo ila the most interesting ni jinsi huyo mungu anayetolewa hizo hala anavyopenda na kushabikia/kuchekelea hela za kudhulumuKuna wapiganaji wengi sana wameweka silaha chini! kuna watu ni kama wamekatishwa tamaa na hulka za Watanzania hasa mwitikio wao kwenye mambo nyeti Invisible anaangukia hapa pia.
Kwa namna wapiganaji walivyotawanyika bila mipango maalum,kwa namna majemadari wetu wengi kukosa mbinu za kuwaamsha Watanzania ili reaction zao zibadilike.
Sidhani kama tunaelekea kuzuri,zimetumika juhudi kubwa kuunga mkono upinzani lakini juhudi hizo zinashuka kwa rate ya kutisha!
Mwisho kabisa dakika hii kuna fisadi ktk wale waliovuliwa nguo miaka kadhaa iliyopita anaona aibu kusimama popote?
nguvu zao zimetoka wapi? Tumefaidika nini tulipowataja kama Taifa? Kama hakuna kilichofanyika plan B ilikuwa nini? au plan B ndio hii ya kumsusia ngedere shamba?
pole sana kwa kukata tamaa. mkono mtupu haulambwi. lowasa ametoa hela nyingi sana alizotuibia watanzania makanisani na sasa hivi haya unayoyaona ni matunda yake tu. kwangu hilo sio tatizo ila the most interesting ni jinsi huyo mungu anayetolewa hizo hala anavyopenda na kushabikia/kuchekelea hela za kudhulumu[/color[
pole sana kwa kukata tamaa. mkono mtupu haulambwi. lowasa ametoa hela nyingi sana alizotuibia watanzania makanisani na sasa hivi haya unayoyaona ni matunda yake tu. kwangu hilo sio tatizo ila the most interesting ni jinsi huyo mungu anayetolewa hizo hala anavyopenda na kushabikia/kuchekelea hela za kudhulumu
we all know lowasa ni mwizi. full stop.
Kujua tunajua, lakini tunatakiwa kutumia vizuri taarifa tunayoijua. Haitoshi kujua tu halafu full stop. Hapana, lazima tuende zaidi ya kujua. Ukiwa na mke mzuri chumbani halafu full stop, hautaelweka.
Kuna watu wengi hawakuelewa kuwa maji ya ziwa Victoria kuletwa Shinyanga sio mpango wa EL. Wakampa sifa lukuki kama vile wasivyoelewa kuwa wazo la kujenga UDOM sio la JK, wanaendele kumpa sifa feki JK.
Kuna watanzania wanadhani pupa ndiyo kazi bila kuja gharama zake kwa Taifa. Utendaji wa EL haujapata kutafsiriwa kama ni PUPA badala yake ikasadikika kama mwenye uwezo wa kutoa maamuzi magumu. Lazima tujue tutafsiri tunachojua na kisha tutumie talifa tunazojua kwa busara. Lakini busara ni nini? Kila mtu hufanya mambo tofauti akiwa na hakika kuwa akifanyacho ndiyo busara. Pia wenye busara katika jamii yoyote duniani ni wachache kuliko walionayo. Mbaya zaidi katika Tanzania wajuvi wa mambo hujikomba kwa wakubwa wakidhani hiyo ndiyo busara. Wachache wenye uthubutu wa kumwambia 'Hiiii, Mfalme uko uchi'. Ndiyo hao wanaong'olewa meno kucha macho na kutupwa majalalani wakikosa hata mtetesi.