Tsh 1,190,000
Tsh 1,190,000
Ndugu naomba mwenye kujua bei ya simu hii ni tsh ngapi !
Aksanteni sana.
Boda boda mpyaaa plus 6 month insurance
Nashukuru sana kwa infor.
Aksante mkuu, nilitaka jua bei maana kwa sasa nipo china na around tar 5 mwezi ujao nitakuja bongo sasa nilitaka nije nazo kidogo niziuze maana huku bei yake ipo cheap kidogo so nadhani kuna faida kidogo, kama kunamtu atahtaj tuwasiliane kwa PM then tutapeane mawasiliano zaidi!!Me nauza yangu 850k. Imetumika 3 months iko kwenye condition nzuri sana...no scratches