New Radio Projects | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New Radio Projects

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Radio Producer, Sep 26, 2012.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  Sep 26, 2012
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Wadau wetu,
  Tunapokea maombi mapya tena sasa kwa wale wanaotaka kuanzisha radio sehemu mbalimbali hapa Tanzania. Saivi tuna miradi 3 na radio hizi kufikia January zitakuwa zimeanza. Karibuni wengine, kumbuka gharama ya kukamilisha vifaa vyote.

  Kumbuka unaweza kuanzisha radio yenye kati ya Tshs 20mil nakuendelea.

  Karibuni tuwasiliane: consultancy@radiotz.com
   
Loading...