Nimechunguz hawa New members wote naona ukiongelea kuhusu chama tawala na serikali yake Mishipa inawavutika je nauliza wamepandikizwa humu JF??na Magamba? nijulisheni au na wanaajamvi fuatilieni hii kitu!!au niwale lwaliopewa Ban ndani ya JF??
Nimechunguz hawa New members wote naona ukiongelea kuhusu chama tawala na serikali yake Mishipa inawavutika je nauliza wamepandikizwa humu JF??na Magamba? nijulisheni au na wanaajamvi fuatilieni hii kitu!!au niwale waliopewa Ban ndani ya JF??
hahafu mwezi huo huo wa sita na wewe ujajoin JF! dah...Msekwa ashukuriwe sana..kawaleta wengi humuPius Msekwa alishawahi kusema (nadhani miezi 5 au 6), kupitia media kwamba JF ni tishio la usalama. Kitisho kikubwa, nadhani wememwaga watu wao kujaribu kuvuruga mustakabali mzima wa jf, hopeful watashindwa.
Nimechunguz hawa New members wote naona ukiongelea kuhusu chama tawala na serikali yake Mishipa inawavutika je nauliza wamepandikizwa humu JF??na Magamba? nijulisheni au na wanaajamvi fuatilieni hii kitu!!au niwale waliopewa Ban ndani ya JF??
Apposition party's

Nimekumisije???bora uilete hiyo RB na mimi nipate kukuona kidogo!!!But ntakutafuta ila ugumu wa maisha ndo unanikimbiza my CDKakaKiiza nina RB yako kesh kaa mkao wa kula unakuja kukamatwa midas ya lunch! hahaha. Magamba mnaichukia kwa nini jamani? acha hizo mkuu.