New member

Rwamuhuru

Member
Joined
Dec 22, 2010
Posts
50
Reaction score
0
Baada ya kuwa mwanachama mfuatiliaji wa nje (guest) nimeona nipandishe status yangu na kuwa member kabisa.

Hoping for a hot welcome from you all.

Thanks and best wishes in this festival season.

Mind your own pocket!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Karibu jamvini,
Amani, Upendo, Kuelimishana,Maelewano na Transparency ndio vyetu hapa.
UDINI-no,

Karibuni
 
Baada ya kuwa mwanachama mfuatiliaji wa nje (guest) nimeona nipandishe status yangu na kuwa member kabisa.

Hoping for a hot welcome from you all.

Thanks and best wishes in this festival season.

Mind your own pocket!!!!!!!!!!!!!!!!

ni maind my own pocket? mboni watishia amani kaka....ila welikam
 
Woouuuwww!!!! You are the first lady to welcome this men.

thanks Preta for a hot welcome note and let me say umependeza na vazi la msimu!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Hashy, ahsante kwa ukaribisho.

Usitishike mkuu, msimu mgumu huu, mtoto kalilia skuna, mama chilimeni, bado hujakatiza Kariakoo wajomba wakulazimishe uwaachie za kusogezea sikukuu kwa raha basi ni karaha tupu ndani ya mifuko
 
Baada ya kuwa mwanachama mfuatiliaji wa nje (guest) nimeona nipandishe status yangu na kuwa member kabisa.

Hoping for a hot welcome from you all.

Thanks and best wishes in this festival season.

Mind your own pocket!!!!!!!!!!!!!!!!

Karibu sana na ahsante kwa heri ya sikukuu na uwe na sikukuu njema pia
 
Woouuuwww!!!! You are the first lady to welcome this men.

thanks Preta for a hot welcome note and let me say umependeza na vazi la msimu!!!!!!!!!!!!!!!!!!

thanks....merry xmas and happy new year......
 
Hashy, ahsante kwa ukaribisho.

Usitishike mkuu, msimu mgumu huu, mtoto kalilia skuna, mama chilimeni, bado hujakatiza Kariakoo wajomba wakulazimishe uwaachie za kusogezea sikukuu kwa raha basi ni karaha tupu ndani ya mifuko

dah! kaka nimekubali manake mie mwenyewe madogo balaaaa huyu anataka jinzi ya dogi dogi huyu kipedo kama cha liana basi balaa tupu!
 
Baada ya kuwa mwanachama mfuatiliaji wa nje (guest) nimeona nipandishe status yangu na kuwa member kabisa.

Hoping for a hot welcome from you all.

Thanks and best wishes in this festival season.

Mind your own pocket!!!!!!!!!!!!!!!!

Woouuuwww!!!! You are the first lady to welcome this men.

thanks Preta for a hot welcome note and let me say umependeza na vazi la msimu!!!!!!!!!!!!!!!!!!
karib sana, na jarib kupunguza alama za mshangao kwenye post zako. Mods hawapendi magreti thinka wanaoshangaa sana.

asante kwa ushirikiano, jiskie uko ikulu.
 
Ahsante sana. Nimefurahi sana maana JF kuna Klorokwin na Malaria Sugu?? What a game!!

Ila nimesoma post moja nasikia Malaria Sugu haipo tena na kwenye post ile nasikia ni juhudi za Baba Mch. Masanilo. Je nafasi yako ilikuwa nini kwenye kutokomeza Malaria Sugu JF?
 
Baada ya kuwa mwanachama mfuatiliaji wa nje (guest) nimeona nipandishe status yangu na kuwa member kabisa.

Hoping for a hot welcome from you all.

Thanks and best wishes in this festival season.

Mind your own pocket!!!!!!!!!!!!!!!!

..................Karibu Rwamuhuru,usishangae kukaribishwa na junior member,lakini nilikutangulia
 
Yeah maralia sugu and Klorokwin,what gives!haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…