new member

Mkuu usajili wako haujakamilika
Ili ukamilike tunaomba vifuatavyo
1.Picha yako halisi
2.Majina yako3 halisi
3.Barua ya mtendaji
4.Namba ya siri ama ya tigo,voda au airtel
5.Namba ya siri ATM CARD
Gharama ya usajili 20000
(natania mkuu)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom