New member

ubuntuX

JF-Expert Member
Aug 18, 2014
1,977
2,200
Hello
mimi ni Mgeni humu ningependa kukaribishwa na kuelezwa zaid maisha ya huu mtandao!
 
Karibu sana mjukuu ebu chuma papai moja apo ila nanilii ya bb yako iyache
66cfff535da785be3a0ff63e90fafbc6.jpg
 
Maisha utayajua siku za mbeleni na wala hutachukua muda kuyafahamu.

Wewe ni mtu wa Sumbawanga?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom