New life band arusha

New life band arusha

pri

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Posts
828
Reaction score
673
Bendi hii ya muziki wa injili iko wapi kwa sasa?nimekumbuka uimbaji wao ulitubariki kwelikweli kwa vipawa walivyopewa na MUNGU,mwenye taarifa,nyimbo zao jimwage hapa
 
Ninavyofahamu band hii iko Arusha nakumbuka enzi hizo wanaimba mji ule unameremeta umepambwa maua,iende mbele Injili,Africa. Kweli band ndiyo ya kwanza Tanzania kabla mziki wa injili haujachakachuliwa sasa hivi ni biashara tu. Mtu anaimba apate pesa si huduma.
 
Nafahamu sasa ni taasisi kubwa pale Arusha,wanamiliki magari ya kusomba mchanga,wana shule ya msingi na sekondari.
Walikuwa wakitembelea shule na vyuo miaka hiyo ya themanini na tisini
 
Hondo Mabondo ( kiongozi)
James kifizi
Gideon Anania.
Palikuwa na Ibrahim Kibambe lakini kwa sasa hayupo pamoja nao kihuduma (nasikia yupo marekani kimakazi)
Hawa ndo wakongwe wa new life band
( mwanzo ikiitwa mision to youth and students kabla hawajaungana na new life crusades ya Egon Falk kisha wakatengana na sasa wanajitegemea)
Wanashule ya secondary maeneo ya kisongo arusha, wana studio kubwa ya kurekodi muziki Arusha. Kuhusu magari ya kubebea mchanga naona umechanganya na magari ya new life crusade ya Egon Falk.
 
Bado wanaimba au wamejikita kwenye taasisi wanayoisimamia?
 
Hondo Mabondo ( kiongozi)
James kifizi
Gideon Anania.
Palikuwa na Ibrahim Kibambe lakini kwa sasa hayupo pamoja nao kihuduma (nasikia yupo marekani kimakazi)
Hawa ndo wakongwe wa new life band
( mwanzo ikiitwa mision to youth and students kabla hawajaungana na new life crusades ya Egon Falk kisha wakatengana na sasa wanajitegemea)
Wanashule ya secondary maeneo ya kisongo arusha, wana studio kubwa ya kurekodi muziki Arusha. Kuhusu magari ya kubebea mchanga naona umechanganya na magari ya new life crusade ya Egon Falk.

Iende mbele injili hiyoo....!pambio murua kabisa kwahiyo bado wanaimba ila mwanakikundi mmoja amejitoa?huna hata wimbo mmoja(mp3) unaoweza kuuweka hapa tupate mkuu?
 
Bendi ilianza mwishoni mwa miaka ya 80 kipindi hicho wazungu walikuwa wanadhamini sana mikutano ya injili.
Nadhani nao pia walidhaminiwa na wazungu. Bendi ilimchukua mpiga Bass wa iliyokuwa Orchestra Maquis, Ibrahim Kibambe ambaye alienda nao ziara moja marekani akanogewa na ughaibuni na kuwatoroka. Nasikia hata wokovu aliukacha. Hivi sasa naambiwa ni marehemu.
Bendi bado ipo Arusha ila haina umaarufu kama mwanzo hivyo wanaishia kukodisha vyombo vya muziki. Kifedha wako vizuri maana wana shule na studio.
 
Ibrahimu Kibambe alifariki dunia.. kwa sasa New Life Band inafanya matamasha Ulaya na Marekani, pia bado wanajihusisha na huduma za vijana kwa kufanya makambi ya vijana mara moja kila mwaka sehemu mbalimbali.
Kwa sasa waimbaji ni kama Eglah Bavuma, Abednego Hango waliotoka AVC, pamoja na Deo, James Kufizi, Gideon na Ondo
 
pia msanii Upendo na Amoni Kilahiro walushaimbia New Life Band kwa wakati fulani... kwa sasa huduma ya Uimbaji huifanya Ulaya na Marekani
 
Bendi hii ya muziki wa injili iko wapi kwa sasa?nimekumbuka uimbaji wao ulitubariki kwelikweli kwa vipawa walivyopewa na MUNGU,mwenye taarifa,nyimbo zao jimwage hapa

Jamaa wapo na wanaendelea kueneza injili Kwa youth especially na huwa wanakuwa na kambi mbalimbali,Mara nyingi pia husafiri ulaya na Marekani
 
Bendi ilianza mwishoni mwa miaka ya 80 kipindi hicho wazungu walikuwa wanadhamini sana mikutano ya injili.
Nadhani nao pia walidhaminiwa na wazungu. Bendi ilimchukua mpiga Bass wa iliyokuwa Orchestra Maquis, Ibrahim Kibambe ambaye alienda nao ziara moja marekani akanogewa na ughaibuni na kuwatoroka. Nasikia hata wokovu aliukacha. Hivi sasa naambiwa ni marehemu.
Bendi bado ipo Arusha ila haina umaarufu kama mwanzo hivyo wanaishia kukodisha vyombo vya muziki. Kifedha wako vizuri maana wana shule na studio.

Mkuu una Data Za kweli aisee I personally know these people,kumbe Yule Jamaa aliyewatoroka Marekani alikufa duh,alikuwa mbabe sana Huyu Jamaa,ila hawakodi vyombo wanavyo bado,wanapiga injili hawajachoka sana
 
Enzi hizo za mikutano ya Big November iliyokuwa inafanyika jangwani NLB ndo walikua wanaongoza sifa..na walikua wapo wakina Samson Anania kwenye drums na alikua na ndugu yake Joseph Anania,Ibrahimu alikua akipiga keyboard na gitaa Hondo bass Gideon gitaa wengine Wilson na mke wake, Tito, Stella, James aka Madevu..
Kuna nyimbo yao naipenda sana...Soma soma Biblia upate maarifa..
 
Aiseeee kweli bhanaaaa naikumbuka sana hii bendi ilikuwa na nyimbo nzuri sana hasa ile albam yao ya kwanza "Ainuliwe Mungu wetu leooo .......... Ainuliwe bwana wa mabwana" ... "Tuna makao mazuri sana" ....

Jamani mwenye hii album namtafuta please.

Bendi hii ya muziki wa injili iko wapi kwa sasa?nimekumbuka uimbaji wao ulitubariki kwelikweli kwa vipawa walivyopewa na MUNGU,mwenye taarifa,nyimbo zao jimwage hapa
 
Hata mimi mkuu...unakumbuka debut album yao ya Baba Yetu iliyokuwa na mapigo kama Siku Inakuja, Ingon Som Du, Baba Yetu et cetera et cetera? Pia Ondo alikuwa na dadake mwimbaji aitwa Stella.

Hivi zinapatikana madukani? Upo lakini mbaba...long time bana
 
Ibrahimu Kibambe alifariki dunia.. kwa sasa New Life Band inafanya matamasha Ulaya na Marekani, pia bado wanajihusisha na huduma za vijana kwa kufanya makambi ya vijana mara moja kila mwaka sehemu mbalimbali.
Kwa sasa waimbaji ni kama Eglah Bavuma, Abednego Hango waliotoka AVC, pamoja na Deo, James Kufizi, Gideon na Ondo
Deo ( drums boy)
 
new life band.jpg
 
Back
Top Bottom