new laptops and tablets from china

new laptops and tablets from china

mtweve jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2013
Posts
232
Reaction score
13
wana jf,mimi ni agent wa kampuni ya china inayoitwa "trades easy way co.ltd"ambaye huwa nachukua oda na kuzituma kisha mzigo unawasili baada ya mwezi mmoja.wewe kama mteja unachotakiwa kufanya ni kuweka oda ya pc au tablet unayoihitai kisha nakwambia bei ktk mfumo wa dollar.bei zipo reasonable sana ukilinganisha na maduka yoyote ya huku.pia ukihitaji naweza kukutumia price list ya bidhaa zotektk mfumo wa soft copy kwenye email kisha uchakue unayoitaka.remarks;
1).payment;70%order and 30%after receiving the products
 
NAOMBA PRODUCT LIST KUNA VITU VINGI NAITAJI MY EMAIL. mkalendaabdalah@gmail.com
 
kama wewe ni mfanyabiashara wa kweli weka products & price list hapa;
 
Vitu vya wazi mpaka tuende chumnani akuhhhh weka kila kitu hapa
 
Hata mimi nahitaji hiyo price list send via mbuyi83@yahoo.com ila ni vema ukaweka hewani kila kitu hapa kama hufanyi biashara ya USANII,You should be very smart bhana ili uvutie watu na waamini unachofanya,siku hizi watu wanaweka wazi mpaka Turnover kwenye website zao..!
 
Ndugu mleta uzi napongeza jitihada zako za kufukuzana na adui umasikini, wanasema kwenye safari ya Kenge na Mamba wamo, kumbukaa watu wameaswa mara kadhaa kuhusu utapeli. hivyo kwakuwa biashara unayofanya ni halisi na c ya kificho jaribu kuweka kila kitu hapa wazi wahitaji waone, na ikiwezekana weka web yako watu watembelee.
 
wana jf,mimi ni agent wa kampuni ya china inayoitwa "trades easy way co.ltd"ambaye huwa nachukua oda na kuzituma kisha mzigo unawasili baada ya mwezi mmoja.wewe kama mteja unachotakiwa kufanya ni kuweka oda ya pc au tablet unayoihitai kisha nakwambia bei ktk mfumo wa dollar.bei zipo reasonable sana ukilinganisha na maduka yoyote ya huku.pia ukihitaji naweza kukutumia price list ya bidhaa zotektk mfumo wa soft copy kwenye email kisha uchakue unayoitaka.remarks;
1).payment;70%order and 30%after receiving the products

Naomba unitumie hiyo price list katika....shinumbu0211<at>gmail<dot>com
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom