New Korean Drama: Descendants Of The Sun (2016) NEW

Jamani hizi series za kikorea nzuri? Sijawahi kuangalia hata moja.naona humu mnazisifia
 
Hivi mkuu wakorea hawachepuki?
Maana ukiangalia content ya movie zao nyingi za mapenzi naona hawana ishu za michepuko, na sanaa ni uwasilishi wa kile kilichopo kwenye jamii yako.
Naomba kupata Abc kuhusu mapenzi ya watu wa bara la Asia..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom