Huyu dada anatisha sana na anameremeta...Hebu ona vitu vyake...
Yaani amechapa wastani wa mitundiko 47 kwa siku. Hii ina maana baada ya mwaka mmoja atakuwa anafukuzana na wazeee wazima wa JF kwa kuchapa posts kama 17000!!!
Namfagilia sana huyu mjukuu wangu....Bravo AD!!!
Kweli JS, yaani wewe umepigwa bao kama umesimama...Ila usiwe na shaka, tuko wengi!
DC wacha tu..bao moja la hatari aisee..lakini hamna noma tutafika tu au sio
big up to ADDC wacha tu..bao moja la hatari aisee..lakini hamna noma tutafika tu au sio
mmmmhh nisamehe bure mi mtoto wa watu...
haya basi yumshukuru babu DC kwa kutukutanisha leo...
punguza basi hasira kidogo tu naomba ae...
Hongera Swtht and keep it up.
hongera....!
wasiliana na mods wakupe mabandiko yangu yote yawe yako
Hapa mnaongelea nini? Mabandiko? ngoja na mimi nkanunue "kisimu changu cha mchina" itakua bandiko mia kwa siku! LOL
Hongera Afro kwa kulala na keyboard!arty:
Hongera AFRODENZI!Ni kama vile samaki na maji jinsi unavyoitendea haki keyboard yako!!!!
Dah kweli unatisha hongera mwaya halafu umerushwa na babu DC jihesabu mwenye bahati sana
Salama kweli wewe? Au sijasoma vizuri!
babu DC yaani leo umenipa surprise ....
asante sana babu kwa zawadi yangu ya x-mass...
Karibu mjengoni AD, uko salama na week end imeisha kwa uzuri?
asante sana babu leo kwa kweli ..
mmmmhhhhh ninafuraha ambayo haitakaa ifutike usoni mwangu asante sana ...
sijui nikushukuru vipi babu...
Usijali mjukuu wangu..Mimi nipo tu nawapenda wajukuu zangu wote. Wasi wasi wangu na kinachoninyima usingizi ni hao watu wanaotaka kuwachakachua. Hope week end imeisha ungali mzima!!
DC
Usiwe na shaka kajukuu....Kunywa glass moja ya white wine kwa niaba yangu. Unaweza pia kunywa glass ya Amarula, BUT at your own risk!!
thanks too! Nikiwa kwenye computer ntagonga panapo husika. Natumia mob muda huu