New JF stars...Afrodenzi...si mchezo na anatisha .......i!!!

Mama sio mimi ni upendo wangu tu kwako ndio unanifanya niwe hivi maana chochote ninachofanya naona hakitoshi.

oooohhh sweety heart ...
that is so nice...
mmmhh lakini mi naona kila kitu unafanya kinatosha sana ...yaani mmmhh asante sana :kiss:
 
mihogo niandae wapi ndugu yangu,
hapa nimechanganyikiwa coz tokea shemeji yako akusindikize juzi hajarudi home hadi leo,
na ww nikikupigia simu yako inasema niache ujumbe.
vipi yuko wapi?kama unajua alipo mwambie anitumie tu pesa ya chakula hayo mengine atajijua mwenyewe![/QUOTE]

Hhahahahahahaah wewe kweli ni mwanamke wa shoka kama wengine wote wangekuwa kama wewe basi nina imani hakuna nyumba ambayo ingevunjika.
 
mihogo niandae wapi ndugu yangu,
hapa nimechanganyikiwa coz tokea shemeji yako akusindikize juzi hajarudi home hadi leo,
na ww nikikupigia simu yako inasema niache ujumbe.
vipi yuko wapi?kama unajua alipo mwambie anitumie tu pesa ya chakula hayo mengine atajijua mwenyewe!

mmmmhhh samahani sana dada Cheusi ...
mi nlivyoachana na shem alisema anaenda counter ya juu kukutana na marafiki zake na kupoza kinywa kidogo
akitoka hapo ni moja kwa moja nyumbani kukuliwaza......
haya ngoja na mi nianze msako ...
pole sana mwaya lakini usijali hata aende wapi kwako bado atarudi .....
 
uwi babu samahani sana umesoma poster yako niliyokutumia hapo nyuma???

Makosa matatu:
1. Babu hawezi kusoma bila mawani - bia tatu
2. Babu hana nyuma - bia saba
3. Samahani bila kutubu - mimba.

Madude umeyahifadhi salama? Hii baridi ni hatari asee.
 
Makosa matatu:
1. Babu hawezi kusoma bila mawani - bia tatu
2. Babu hana nyuma - bia saba
3. Samahani bila kutubu - mimba.

Madude umeyahifadhi salama? Hii baridi ni hatari asee.

hahahahah lol babu mmmhhh uniachie kidogo basi leo babu...
usinikabe kiasi hichi babu...
haya ngoja niseme samaani zangu zote tatu

1. samahani sana
2. im realy sorry
3.Aroha mai

hahahah lol
 
mihogo niandae wapi ndugu yangu,
hapa nimechanganyikiwa coz tokea shemeji yako akusindikize juzi hajarudi home hadi leo,
na ww nikikupigia simu yako inasema niache ujumbe.
vipi yuko wapi?kama unajua alipo mwambie anitumie tu pesa ya chakula hayo mengine atajijua mwenyewe![/QUOTE]

Hhahahahahahaah wewe kweli ni mwanamke wa shoka kama wengine wote wangekuwa kama wewe basi nina imani hakuna nyumba ambayo ingevunjika.

mmmmhhh Dada Cheusi ni mataalm wawa taalum
Fuatilia poster zake utaona raha duniani jinsi anavyojibu,,
keep up great work my friend...
 
Huyu dada anatisha sana na anameremeta...Hebu ona vitu vyake...

Yaani amechapa wastani wa mitundiko 47 kwa siku. Hii ina maana baada ya mwaka mmoja atakuwa anafukuzana na wazeee wazima wa JF kwa kuchapa posts kama 17000!!!
Anapatikana mitaa gani hapa JF?
 
mmmhhh paka we unajua hilo si tatizo..
usijali nihakika watu wengi wanampenda paka ...

Kwa maneno hayo sina hata la kusema ila nashukuru tu maana hata dunia nzima ikinichukia ukanipenda wewe tu bado nitajihisi kama vile naimiliki dunia yote.
 
Back
Top Bottom