New: interview ya precision air tz

Apr 12, 2012
42
1
Wadau zile nafasi walizo tangaza precision air kama: cabin crew na deadline ilikuwa tarehe 30 APRIL 2012,vp wameshaita watu kwa ajili ya interview? Msaada tafadhali
 
Mkuu mimi mwenyewe nili apply na Picha juu. Design Wameshapeana kindugu ndugu..
 
keep on waiting ni lazima washort list hzo ndio procedure za kulicruit wafanyakazi,bdo hawjaitwa kwenye interview hata mi niliomba kwa hyo nifuatilia kwa ujirani zaidi:majani7::majani7:
 
Back
Top Bottom