ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,683
Tuache utani wimbo mzuri sana...[emoji53] embu ngoja nijaribu kuurudia rudia kuusikiliza huenda nkaupenda
Waambie mashairi mwisho chalinze Africa inataka kucheza tu maana ata awajui tunaimba nini.Tuacheee unafiki Jamanii,tuache kuropokaaa,tuachee uongo no matter wewe ni Shabiki wa Diamond au sio Shabiki wakee! Lakini kiukweliiii hii ndo Nyimbo anazo takiwa kufanyaaa diamond ili afike kimataifaa zaidi! Now watu hawataki kusikia maneno kwenye Nyimbo yako watu wanataka rahaaa na diamond kawapatiaaa! Angalia nyimbo Ya PANDA kwanini watu wanaipenda? Angalia nyimbo ya Rihana Work watu wanapenda nini?
Hii ndio video ambayo inaweza chezwa Trace na watu wasichoke kuitazamaa siku nzimaaa!!! Watu wata taka waangalie mda wote waige style za kuchezaaa! Hapa hata kama una ROHO MBAYA HII NYIMBO ikipigwaaa utachezeshaaa kichwa kama Sio Miguu!!! Diamond anahitaji pongeziii kwa kweliiiiii maana sio kwa video hii na nyimbo hii!
Naona Psqure wamemshauri vizuriiii!!! Ngoja tuwe mashahidi kwenye hii nyimbo wapi itafika!!! Nani katika level za kimataifaaaa zaidi ya Number one!
Hao wanamuomba maana nyimbo ni zaoHata Kiba alisema....Diamond haimbi mziki kama wake hivyo hajafikiria kufanyanae kolabo.
Lakini Kiba huyo huyo anafanya kolabo na Mziwanda, Mr Blue....hahahaha. Utadhani hao anaofanyanao kolabo wanaimba staili yake!
N icho ndo wanachotuzidi wa nigeria nyimbo zao kupata rotation mziki kwny steshen kubwa yaan uwa hawaumizi akili ila ngoma inahit hata ukicheki hip hop yao simple n clearTuacheee unafiki Jamanii,tuache kuropokaaa,tuachee uongo no matter wewe ni Shabiki wa Diamond au sio Shabiki wakee! Lakini kiukweliiii hii ndo Nyimbo anazo takiwa kufanyaaa diamond ili afike kimataifaa zaidi! Now watu hawataki kusikia maneno kwenye Nyimbo yako watu wanataka rahaaa na diamond kawapatiaaa! Angalia nyimbo Ya PANDA kwanini watu wanaipenda? Angalia nyimbo ya Rihana Work watu wanapenda nini?
Hii ndio video ambayo inaweza chezwa Trace na watu wasichoke kuitazamaa siku nzimaaa!!! Watu wata taka waangalie mda wote waige style za kuchezaaa! Hapa hata kama una ROHO MBAYA HII NYIMBO ikipigwaaa utachezeshaaa kichwa kama Sio Miguu!!! Diamond anahitaji pongeziii kwa kweliiiiii maana sio kwa video hii na nyimbo hii!
Naona Psqure wamemshauri vizuriiii!!! Ngoja tuwe mashahidi kwenye hii nyimbo wapi itafika!!! Nani katika level za kimataifaaaa zaidi ya Number one!
Its now vivid that Diamond is well on his way to become Tanzania"s most famous son.,Ni Nyerere tu ambaye yuko mbele yake-akiendeleza hii trend ya mwendokasi ni hatari..Tuacheee unafiki Jamanii,tuache kuropokaaa,tuachee uongo no matter wewe ni Shabiki wa Diamond au sio Shabiki wakee! Lakini kiukweliiii hii ndo Nyimbo anazo takiwa kufanyaaa diamond ili afike kimataifaa zaidi! Now watu hawataki kusikia maneno kwenye Nyimbo yako watu wanataka rahaaa na diamond kawapatiaaa! Angalia nyimbo Ya PANDA kwanini watu wanaipenda? Angalia nyimbo ya Rihana Work watu wanapenda nini?
Hii ndio video ambayo inaweza chezwa Trace na watu wasichoke kuitazamaa siku nzimaaa!!! Watu wata taka waangalie mda wote waige style za kuchezaaa! Hapa hata kama una ROHO MBAYA HII NYIMBO ikipigwaaa utachezeshaaa kichwa kama Sio Miguu!!! Diamond anahitaji pongeziii kwa kweliiiiii maana sio kwa video hii na nyimbo hii!
Naona Psqure wamemshauri vizuriiii!!! Ngoja tuwe mashahidi kwenye hii nyimbo wapi itafika!!! Nani katika level za kimataifaaaa zaidi ya Number one!
Huyo ndio Simba bhana... Watu inabidi wajue sasa akitoa wimbo anaimbia dunia nzima sio temeke na kinondoni tena.. Uwezi kuimba kaswida na p square watakutosa kama yule jamaa alivyofukuzwa kwenye video na mr international.
Hapo hakuna nyimbo. Wanatumia majina yao kuuza. Msinichukulie vibaya mkadhani mm ni timu pinzani. Ila ukweli ndo huo. Hakuna jipya hapo jamaniUle wimbo mpya wa taifa umetoka tayari. karibu ujionee mwenyewe
wimbo wa Harmonize utaishia ndani ya mipaka ya Tanzania,Diamond anaimba nyimbo akifikiria nje ya box-who ever is advising this guy is doing one hell of a good jobTuacheni unafiki,kwa wimbo huu,amechemka,Dogo Harmonize kapiga bao la kisigino kwa Matatizo!!
Kiongoz sio kwa kibao hiki,ni songi la kawaida saaanawimbo wa Harmonize utaishia ndani ya mipaka ya Tanzania,Diamond anaimba nyimbo akifikiria nje ya box-who ever is advising this guy is doing one hell of a good job