New hack for all networks voda, airtel, zantel, tigo full works 1000%

Mfupa

Member
Nov 11, 2011
37
3
Nani anayezijua hizo mambo za kuhack ndugu tujuzane mi natafuta hizo mambo.

thanks :)
 
WE na wewe hamanazo yaaani nimekuja kwa kasi nikijua wewe ndio unatuokoa kumbe huna lolote waaaay:A S 2152:
 
heading imenifanya niwe na shauku sana kumbe unaulizia maujanja,btw pitia pitia threads humu ndani kuna maujanja
 
Aaah bw ethemiza atakupa maujnja na mshkaji wangu m1 usiwaze ila ukome kuuliza kabla ya kutafuta
 
We taprli nini? Heading nzito unaomba msaada si ungekuwa wazi tu. Ebu acha kuangakia search humu keyword free internet utapata kila kitu. Siku nyingine usitupe presha za ajabu.
 
Hahahahaaa!!! Nimejikuta automatic nimefungua hii post nikijua maujuzi ndo nayakuta kumbe unauliza????? Aaaaah!!!!
 
kajifundishe kuandika heading....... nimeingia nikujuze hilo tu...
 
We kweli ni mfupa! Yaani unaleta heading za udaku udaku hapa kama magazeti ya Global pub. Ungekuwa karibu ningekuchemsha ninywe supu.
 
Back
Top Bottom