New Habari Corp..kumuomba Radhi Mh Sumaye

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Aug 20, 2010
37,480
78,732
Hii nimeisikia jana..kuwa Gazeti la Mtanzania linatakiwa kumuomba radhi mh Sumaye..katika magazeti yao kwa siku saba mfululizo kuanzia leo..

Source:ITV News
 
Jamaa wataomba radhi watu wengi sana kwa sababu sas hivi wao wanachokifanya ni kuchafua kila mtu ambaye wakubwa zao wanamchukia. Njia nzuri ni kuyafuta tu magazeti hayo ili kulinda heshima ya taaluma ya uandishi. Kuomba radhi wakati wameshaumiza hadhi na heshima za watu ni sawa na kujaribu kumrejeshea kuku manyoya baada ya kumnyonyoa.
 
Back
Top Bottom