New Habari Corp..kumuomba Radhi Mh Sumaye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

New Habari Corp..kumuomba Radhi Mh Sumaye

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by mtu chake, Sep 8, 2011.

 1. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #1
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,035
  Likes Received: 1,155
  Trophy Points: 280
  Hii nimeisikia jana..kuwa Gazeti la Mtanzania linatakiwa kumuomba radhi mh Sumaye..katika magazeti yao kwa siku saba mfululizo kuanzia leo..

  Source:ITV News
   
 2. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #2
  Sep 8, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Jamaa wataomba radhi watu wengi sana kwa sababu sas hivi wao wanachokifanya ni kuchafua kila mtu ambaye wakubwa zao wanamchukia. Njia nzuri ni kuyafuta tu magazeti hayo ili kulinda heshima ya taaluma ya uandishi. Kuomba radhi wakati wameshaumiza hadhi na heshima za watu ni sawa na kujaribu kumrejeshea kuku manyoya baada ya kumnyonyoa.
   
 3. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #3
  Sep 8, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,294
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Waliandika nini hadi waombe radhi?? tupeni habari kwa undani tafadhalini wakubwa
   
 4. Steven Robert Masatu

  Steven Robert Masatu Verified User

  #4
  Sep 8, 2011
  Joined: Aug 7, 2009
  Messages: 2,393
  Likes Received: 728
  Trophy Points: 280
  tupen details za kutosha, wanaomba radhi kuhusu nini, na kwa nn waliamua kumchafua na kwann wanaomba radhi?
   
Loading...